Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Hii ni kweli asee...but usiombe ishu iwe ni ya mapenzi, yaan mtu anakufokea tuu ilimradi kujifanya mambo ya kazi kumbe ana ishu na wewe private

Na hii ni daily, omba sana yasikukute[emoji848]
Dah hii kweli changamoto mamii, maswala ya kazi yakimixiwa na hisia za mapenzi mtifuano wake sio poa hasa kama upande mmoja haupati ushirikiano mzuri! Hio changamoto inahitaji ukaze roho tu maana kutoa tunda kimasihara ndio muarubaini wa majanga😂 ila utaishi kitumwa baada ya hilo!
 
Dah hii kweli changamoto mamii, maswala ya kazi yakimixiwa na hisia za mapenzi mtifuano wake sio poa hasa kama upande mmoja haupati ushirikiano mzuri! Hio changamoto inahitaji ukaze roho tu maana kutoa tunda kimasihara ndio muarubaini wa majanga[emoji23] ila utaishi kitumwa baada ya hilo!
Umeona msala huo sasa[emoji22]

Yaan kila ikifika asubuhi unawaza leo huyu jamaa sijui atanirushia tofali gani!

Tunavyokwambia tunatafuta mitaji usiwe unatucheka ndo mambo kama hayo
 
Eeh mzee baba..,kwa ishu yoyote ambayo itazalisha pesa mwishoni usisite kunisanua tuje kupiga maana ndio shughuli ambazo nazifanya hapa town kwa sasa![emoji23][emoji23][emoji23]
Ila angalia mwana usije kuwa punda[emoji16][emoji16]
 
Umeona msala huo sasa[emoji22]

Yaan kila ikifika asubuhi unawaza leo huyu jamaa sijui atanirushia tofali gani!

Tunavyokwambia tunatafuta mitaji usiwe unatucheka ndo mambo kama haya
Hiko kipengele kiukweli unaenda ofisini na mawazo
 
Hii ni kweli asee...but usiombe ishu iwe ni ya mapenzi, yaan mtu anakufokea tuu ilimradi kujifanya mambo ya kazi kumbe ana ishu na wewe private

Na hii ni daily, omba sana yasikukute[emoji848]
Mchomee akome na ushamba wake.
Mtu wa hivyo hawezi kukuacha salama lazima utakuwa victim siku zijazo.
 
Back
Top Bottom