Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
najihisi nipo sahihi zaid bada ya wewe kuniambia [emoji28]Upo sahihi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najihisi nipo sahihi zaid bada ya wewe kuniambia [emoji28]Upo sahihi mkuu
najihisi nipo sahihi zaid bada ya wewe kuniambia [emoji28]
Atasaidia vijana kutoka.....Amepodoa kichizi yaani
Hakupaswa kabisa kujishusha hivyo
Maana lile ni kundi kwa vijana wachanga wanaotafuta channels za kutoka sasa na yeye kwenda kujibana hapo hapo ,aaaargh amepodoa sana yaani.
Kabisahamna nadhani italisaidia kundi swala hapo ni maslahi
Dokii anakuwa.kama staa ambaye ataenda kuamsha kundi zaid.
halaf kwa usawa huu mtu akipata kazi yoyote ianyo muongezea hata buku yafaa afanye.
mi nao ni kama wote wawili watafaidika Dokii atarud kuonekana zaid kwenye tasnia yake na hao madogo watapata kufahamika zaid na kujenga majina
SawaUnataka usainiwe wewe siyo mtoto wa kiume mambo ya kike kike tu
Kwa nini mkuu?Hance umetumwa na Kaz T?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo ya kike hayo..ww ulitaka asaini wapi