Nimechukia sana suala la Dokii kusaini Timamu African Media

ulimpa mchongo mwingine wa maana akakataa au unajipngelea tu
 
Kabisa
 
Mkuu! kumbuka kuwa mficha maradhi kifo humuumbua.Wewe unaangalia jina kubwa mwenzako anaangalia mkwanja mrefu.



My take: hakuna faida yoyote kuwa na jina kubwa katika tasinia ya sanaa.ikiwa halikuingizii kipato.
 
Jina kubwa mfukoni hata mia mbovu huna.....si bora utafute popote pale ujiegeshe uendelee kupata hizo hizo mia mia
 
Radha itakuwa tofauti sijui kama atafiti ila ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…