daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Utapigana na waasi wa M23, boko haram, al shabaab na hizo drones?Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Infantry hawaepukiki ukitaka kushinda vita ni lazima utawatumia ndio maana hata Israel pamoja na tech waliyo nayo bado askari wa miguu wameingia GazaIran anaishambilia Israel umbali wa zaidi ya kilomita 2,300 bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.
Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
Ukiwa vitani silaha zako nani atakubebea?Wewe unayejua tuambie, kwann mnatuonesha kubeba mizigo kama makuli?
Unafuatilia IDF wanavyopigana HAMAS?Iran anaishambilia Israel umbali wa zaidi ya kilomita 2,300 bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.
Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
IDF Ina makomando wanaotembeza show za kibabe kule Gaza lakin hakuna hata mmoja mwenye mwili kama Hawa wa kwetu
Uko sawa mkuu70kg, kawaida sana ukizingatia anamazoezi. Au mnasemaje wabeba matukunyema[emoji3]
Umewakamia wacheza showWajitahidi siku nyingine watuonyeshe na kurusha kitu chenye ncha kali mpaka Malawi