Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Utapigana na waasi wa M23, boko haram, al shabaab na hizo drones?
 
Iran anaishambilia Israel umbali wa zaidi ya kilomita 2,300 bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.

Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
Infantry hawaepukiki ukitaka kushinda vita ni lazima utawatumia ndio maana hata Israel pamoja na tech waliyo nayo bado askari wa miguu wameingia Gaza
Binafsi mengine naona tuachane nayo huwezi kuja kuonesha shughuli zote za kijeshi ndani ya saa Moja au mawili lakini pia huwezi Anza kuonesha vifaa vyako hadharani kwenye tamasha
Kilichofanyika ni kuburudisha tena usikute hizo kilo ni 20 wao wakasema 70 maana zimelenga kuburudisha
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    9.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom