Hizo ni show offs, demo lakin kwenye acctual mission hawaendi na hivi vituNimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Halafu mambo ya kijeshi kama hayo kwenye Muungano maana yake nini ? au Muungano huu ni wa kimabavu ?Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Kama umewahi kusoma yale magazeti ya SANI kuna dingi anaitwa Baba ubaya alikuwa akiingia kwenye varangati anabeba zana zaidi ya 100 lakini anachezea kichapo...Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Kwani lazima muoneshe kitu? Mngeimba kwaya tu. Hiki kinachooneshwa ni kichekesho.KAMA CODES NA MIDANIA YA KIJESHI HAUIJUI NI BORA UKAKAA KIMYA
Geographia ya iran na tz ni tofauti, na maadui ni tofauti sie majeshi yetu anapambana na waasi wa m23 janjaweed na wapuuzi akina mbowe, hawa wakwetu ni wakupiga makofi tu sio wakushambuwa kwa dronesIran anaishambilia Israel bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.
Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
Ni namba ngap dstv?Kwani si tulishakubaliana kuwa Tanzania ni channel ya vichekesho..??!!!
Acha malalamiko endelea kufurahia vichekesho hivyo mkuu 🤒😎
Utanishauri nn wewe usiyejua hata kuandika??! Wewe darasa la 3 B andika nakushauri siyo nakushauliNakushauli usipende sifa zitakutokea puani. Huu mda utapita.
Ndiyo maana Hamza 1 aliua polisi zaidi ya 10Geographia ya iran na tz ni tofauti, na maadui ni tofauti sie majeshi yetu anapambana na waasi wa m23 janjaweed na wapuuzi akina mbowe, hawa wakwetu ni wakupiga makofi tu sio wakushambuwa kwa drones
Msingeuliwa na M23Ndugu zangu jeshi letu Kwa sasa ni la kisasa na kuna kila aina ya zana za kisasa, sio kila kitu tunaonesha tuelewe medani ipoje
Kuna Codes zimejificha kwenye lile onyesho . .Kwani lazima muoneshe kitu? Mngeimba kwaya tu. Hiki kinachooneshwa ni kichekesho.