Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Mawazo yetu ndo yalipo ishia hapa, wanajeshi wetu awatusamini hata kidogo,, sasa kwanini wabebe mizigo mizito ivyo akati tuna vifaru na magari,

Jeshi now linaitaji mifumo smart.

Hii kubeba mizigo au ndo tunagaiwa ujumbe kuwa nchi ishauzwa. Wapo vizuri kukimbia na vyombo vyao?
 
Najua bhana, si ndiyo jeshi hili hili lilikiwa linagombania mavazi na raia? Eti raia akivaa mavazi yanayofanana na jeshi litashindwa kufanya kazi. Pathetic and absurd!

Wanajeshi ndiyo hawa kazi kupigana na raia kwenye mabaa wakigombea malaya. Na ndiyo maana hata maonesho yao yamejikita kwenye kuonesha maguvu kwa kubeba kilo 70, lkn akili na weledi ni mdogo kama uduvi.
kama hakuna unachojua kuhusu jeshi ni busara kukaa kimya
 
Sio kila sehemu utatumia Ndege!

Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk

Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Ndo ubebe mamizigo mgongoni kiasi hicho?

Vita vya leo havihitaji manguvu huku akili zero bali akili nyingi ndo teknolojia inavyotaka.
 
Sisi bado sana..
Wanajesh wanaingia kambini na smartphone za kampuni tofauti...
Kuna siku nilkuwa naset 'radiocall' kuweka channel moja hiv..nikakamata mawasiliano ya maafande...duh
Duuuh hii ni hatari mkuu..
Sikujua kwamba kuna technology hii.
Kwaiyo wafanyeje?
Kila siku tunajifunza
 
Back
Top Bottom