Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hiyo 5% ndiyo mimi.Hata kama ni kweli kwamba P. W. Botha alikuwa mhuni na racist, lakini maneno yake yana ukweli mchungu kwa kiasi kikubwa sana, at least by 95% is true.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo 5% ndiyo mimi.Hata kama ni kweli kwamba P. W. Botha alikuwa mhuni na racist, lakini maneno yake yana ukweli mchungu kwa kiasi kikubwa sana, at least by 95% is true.
Hilo jeshi liko kizamani mno, Hadi sasa Bado wanatumia Fax na CD/DVD kutunza data zao. Ndio maana huna sifa sana kutumika kupiga raia wasio na silaha.Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Ni kweli ila vita kwa sasa 90% ni technology na sio mabavu.Sio kila sehemu utatumia Ndege!
Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk
Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Bora wangepita ile staili ya kuvaa mabegi wengi kwa paredi la kurusha rusha miguu. Haya wanaofanya hayana mvuto wa kwenye halaikiNimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Zimeonyeshwa [emoji777]Pale hamna kitu kimeonyeshwa, real mission hawaendi hivyo. Zile ni show of force, demontu for public stunts
Sasa kama wanasiasa wanaangalia yao tu ya wengine hawayatazami tunafanyeje ndugu yangu lakini tuko dynamic japo kwa mwendo wa kinyonga kama unavyoona mashirika yetu kama.la mzinga.Pia usisahau Kuwa na technology kunahitaji uchumi mkubwaanha sawa mkuu sasa swali langu innovation vipi zinafanywa au zipo zilizowahi kufanya na hawa wanaokuja kuvaa nyota baada kusoma nje? , maana huwa naona tu vyeo wanapata + mishahara ila jeshi letu kuwa advanced hatuoni kbsaa.
[emoji1666]mimi nahisi kama huwa mnaongeleaga vitu msivyovijua! Sijui movie zimewaathiri?????!!!
Unakuta mtu anaamini Comando hafi , kwamba kuna watu wanafanya mission 99% sucessful without casualities yani mambo perfect... kwamba unaenda kupambana na watu wasiojitambua unawamudu! Na lolote haliwezi kutokea.
Hivi hamusikii huko kwa watukufu wenu wanakufa mpaka maofisa wa juu kabisa!! Vita haipo kwa ajili ya mipango! Ila mipango ipo kwa ajili ya vita ile just in case! Kuna kuwahi na kuwahiwa! Sasa ukijikuta umeangukia nsituni au eneo la mission haliruhusu drone na hizo mashine zingine zingine unatakiwa sasa ubebe hizo kilo 70 zitakazokusaidia kusurvive mwezi mzima.. utafanyaje?? Na nyie mnataka jeshi zima liwe kama kitengo cha hakers au wanasayansi yani hawanyanyuki kuface mambo magumu kigumu.
mzeebaba sidhani kama kuna MiG 21 iliyopo katika service kwa sasa na kama zipo ni chache kwa sasa. Kumbuka Mr wakati wa kipindi chake alichukua Chengdu F-7.Acha hizo kuna za kirusi Mig 21 fighter jets za 1970's
Afisa Mteule Drj 2Oparesheni korosho?
Bado wanafikiria vita vya kuchimba "MAANDAKI" wenzetu wanatumia state- of-the-art drone kuepusha vifo kwa askari wao... Sisi bado tunakimbizana na "MAFURUSHI"🙆🙆🙆😃😃😃😃😃😃Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
Endelea kuuza maziwa, mambo ya medani huwezi kuyaelewa.
Zingatia ushauri wangu, jikite kwenye maziwa. Ukitaka kufahamu usianze kwa lawama na dharau.Medani ya kubeba mizigo kama makuli bandarini,wenzenu wanawekeza kwenye silaha za kiteknolojia nyie bado mnabeba mizigo kama makuli wa mabibo sokoni,mkistaafu mnaanza kuumwa migongo.
Kurutu endelea na mabio...Kambi..95kj
Mengine achana nayo
Ujinga ni kuamini na kujua kuwa kinachofanywa ktk hayo maonyesho ndio ulinzi...Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Achaneni na wapumbavu na wapondaji tu wajuaji wasio na ujuzi.Sio kila sehemu utatumia Ndege!
Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk
Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
AloooooooNimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562