Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Hao jamaa sijui kwa nini hawabadiliki miaka na miaka mimi nilitegemea miaka 60 ya uhuru watuoneshe namna watakavyozibiti shambulizi la drone za kusafirisha mabomu kama zile zilizokuwa zikitunguliwa na Israel kutokea Iran.
Hizo ni siri za Kambi, huwezi kuzipata Uraiani
 
Zingatia ushauri wangu, jikite kwenye maziwa. Ukitaka kufahamu usianze kwa lawama na dharau.
Acheni kubeba mizigo kama makuli,jikiteni kwenye teknolojia,waambieni viongozi wenu wa kijeshi na kisiasa kuwa vita vya kisasa ni vya kiteknolojia.Wawekeze zaidi kwenye teknolojia kwa kuanzisha vituo vya ugunduzi na utafiti.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hao jamaa sijui kwa nini hawabadiliki miaka na miaka mimi nilitegemea miaka 60 ya uhuru watuoneshe namna watakavyozibiti shambulizi la drone za kusafirisha mabomu kama zile zilizokuwa zikitunguliwa na Israel kutokea Iran.
Hatuna adui wa namna hiyo sisi.

Nani hapa Africa tuingie nae uhasama kiasi kwamba atutumie hizo drones??
Hao magiants sisi ni vibaraka wao, wakija hapa tunawapigia magoti na kuwaomba misaada.
Hawa majirani nao hali jojo kama sisi tu.
 
Vita ya tatu ya dunia haitangalia umbali wa nchi na nchi bali itaangalia unafungamana na upande gani. Kwa hiyo usishangae Tanzania inachapika kutokea mashariki ya kati.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Siyo Jeshi tu hata sekta zingine zinapaswa kuonyesha umahiri wa technolijia. Sasa jiulize wewe kwenye sekta yako kuna kipi kipya kinachoendana na wakati au ndiyo ile kutoa kibanzi kwenye jicho la mwingine ilhali nawewe una boriti jichoni?
 
Acheni kubeba mizigo kama makuli,jikiteni kwenye teknolojia,waambieni viongozi wenu wa kijeshi na kisiasa kuwa vita vya kisasa ni vya kiteknolojia.Wawekeze zaidi kwenye teknolojia kwa kuanzisha vituo vya ugunduzi na utafiti.
Halafu kwenye maadhimisho kama haya tuje tuwaoneshe hadharani namna tulivyoendelea kijeshi?
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Hakika
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Lengo la onyesho husika ni ukakamavu! Sifa muhimu kwa askari ni ukakamavu na ustahimilivu!
Nilisikiliza kdg ambapo, mshereheshaji alieleza kuwa, wamebeba zana zenye zaidi ya kilo 70 ambazo zinamwezesha kutekeleza majukumu yake kwa siku 30 bila kuhitaji msaada wowote!
Cant u give credit to that!
Tujifunze kuthamini vya kwetu. Wenyewe ambao ndio wahusika wanaelewa mazingira yao ya kazi hivyo wanatoa mafunzo kulingana na mahitaji yao, ila sisi tulio nje tunataka kuonekana ni bora kuliko wahusika!
 
Hawatumiagi akili, hawa, hakuna maandalizi, ni kuchukua mafurushi ya mwaka Jana na kubeba tu!
Hii nchi imejaa wezi, watu wa kuwaza kama ngombe, hakuna ubunifu, zama hizi za artificial intelligence, Internet of things, drones, wewe bado unaonyesha wana jeshi wanabeba matofari! Mambo ya power mabula! Wa miaka ya, 90!
Kenge kabisa
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Wangewepo Russia/Ukrain kule kwisha hawa vitaa vya sasa mwana yupo nyumbani anatuma kadrone kanakuvuruga wote.
 
Yaani nimesikitishwa sana na nilicho kiona leo pale uhuru stadium. JESHI MAMBO MENGINE YANGELIBAKI KUWA SIRI ZA JESHI TU. 🙄😤 Hebu imagine yale ma drone Iran yalivyo tulizwa wenge juzi na jeshi la Israel hebu imagine 😌 halafu angalia sisi 😂 si bora tufiche mambo mengine aisee.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Lengo la onyesho husika ni ukakamavu! Sifa muhimu kwa askari ni ukakamavu na ustahimilivu!
Nilisikiliza kdg ambapo, mshereheshaji alieleza kuwa, wamebeba zana zenye zaidi ya kilo 70 ambazo zinamwezesha kutekeleza majukumu yake kwa siku 30 bila kuhitaji msaada wowote!
Cant u give credit to that!
Tujifunze kuthamini vya kwetu. Wenyewe ambao ndio wahusika wanaelewa mazingira yao ya kazi hivyo wanatoa mafunzo kulingana na mahitaji yao, ila sisi tulio nje tunataka kuonekana ni bora kuliko wahusika!
Ukomavu huu wakingese kabisa wakija wale wakoloni kutaka kutufanya watumwa tena itakuwa kazi ndogo kwao. Tunahitaji kuwekeza kwenye mbinu mpya hata uwe na kachupi unaweza fanya maangamizi sio kubeba mizigo kama watalii wa kizungu wa miaka ya 90’s.
 
Wanajeshi wenyewe tunaelewa nini maana yake, we endelea kucheza hui mwaka hee!
Sasa 'kamanda' kama unajua kwa nini uruhusu upotoshwaji na vitendawili kuhusu kubebwa mawe kwenye macho ya dunia?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom