Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo


Mi nimewaelewa Jwtz. kama ilivyo kote dunia mbinu za kijeshi zinazowekwa hadharani zile ambazo tayari "obselete" ili kuwahadaa maadui.
 
Endelea kuuza maziwa, mambo ya medani huwezi kuyaelewa.
 
Pole kwa kukosa kazi jeshini, kurutu.
 
Serikali haitaki kuwekeza kwenye teknolojia wao wafanyeje?

Ndio maana wanapiga watu mtaani wajinger hawa
 
Hapo nimeona ni makomando, hebu jaribu kucheki na makomando wa wenzetu, nadhani nao watakuwa hivyo hivyo.

Kuhusu suala la silaha bora, shida ni serikali yetu, elimu duni, pesa wananunulia mavieite.
 
Sisi bado sana..
Wanajesh wanaingia kambini na smartphone za kampuni tofauti...
Kuna siku nilkuwa naset 'radiocall' kuweka channel moja hiv..nikakamata mawasiliano ya maafande...duh
 
Huna unachojua kuhusu jeshi!
 
Mtu ambaye hajapitia ingalau hata mgambo utamjua tu.
 
mimi nahisi kama huwa mnaongeleaga vitu msivyovijua! Sijui movie zimewaathiri?????!!!
Unakuta mtu anaamini Comando hafi , kwamba kuna watu wanafanya mission 99% sucessful without casualities yani mambo perfect... kwamba unaenda kupambana na watu wasiojitambua unawamudu! Na lolote haliwezi kutokea.

Hivi hamusikii huko kwa watukufu wenu wanakufa mpaka maofisa wa juu kabisa!! Vita haipo kwa ajili ya mipango! Ila mipango ipo kwa ajili ya vita ile just in case! Kuna kuwahi na kuwahiwa! Sasa ukijikuta umeangukia nsituni au eneo la mission haliruhusu drone na hizo mashine zingine zingine unatakiwa sasa ubebe hizo kilo 70 zitakazokusaidia kusurvive mwezi mzima.. utafanyaje?? Na nyie mnataka jeshi zima liwe kama kitengo cha hakers au wanasayansi yani hawanyanyuki kuface mambo magumu kigumu.
 
Huna unachojua kuhusu jeshi!
Najua bhana, si ndiyo jeshi hili hili lilikiwa linagombania mavazi na raia? Eti raia akivaa mavazi yanayofanana na jeshi litashindwa kufanya kazi. Pathetic and absurd!

Wanajeshi ndiyo hawa kazi kupigana na raia kwenye mabaa wakigombea malaya. Na ndiyo maana hata maonesho yao yamejikita kwenye kuonesha maguvu kwa kubeba kilo 70, lkn akili na weledi ni mdogo kama uduvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…