Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

Ushauri kama huu unapotosha
 
nice
 
Unaweza usikope na ikawa maskini vilevile acheni mawazo ya kimaskini hayo maisha yenyewe ya hapa hapa duniani na mafupi sana

Eti akubali kupanda daladala abebe chawa na kunguni apeleke nyumbani huku anapigwa na mvua wakati nafasi ya kununua gari ambayo ataitumia kwa kujinafasi na familia yake bila kiambukizana fungus za ngozi kwenye dala dala nafasi anayo

Eti aogope kununua gari eri kisa tu hana biashara hahaaa umasikini huu haki

Gari kwa sasa ni basic need aisee ana ni muhimu kuliko unavyo dhani , nyumba ina nanafasi yake na gari pia ina nafasi yake hakuna kinacho mtegemea mwenzie hapo.

Ushauri nunua gari kwa matumizi ya familia pua malizia kibanda chako , IST ni gari ambayo kwa kipato chako unaweza kuimudu vyema kabisa, achana na hao wenye mawazo ya kimaskini eti huwezi kukopa ukanunua gari ni umasikini tu wa fikra maana usumbufu unao upata ikiwa huna gari na hasa kama unafamilia ni afadhari ukope ununue gari mpange matumizi ya kipato kinacho baki.

Kikubwa nunua gari unayo weza imudu kiuendeshaji kama kipato chako ni cha kati kama IST,corolla spacio,runx&alex, na mengine ya aina yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…