Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
[emoji3][emoji3]huu ushaur nomaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]huu ushaur nomaah
Ist
Ist ya 15mil, 14mil, na 12mil ya nini wakati hapa hapa bongo zipo Alphard au Toyota hiace custom au Nissan caravan za hizo bei tena 15mil zimenyooka na niused from Japan, zimetembea mileage kadhaa.
Mi nasemaga hizo ist, vitz, raum, na mfanano huo sio gari za kigenteleman Bora ununue Pickup Toyota Hilux ndogo new model.
Mkuu na je kwa mfano Kama Nina nyumba yangu ambayo nakaa mwenyewe.Kitu chako chochote kile ambacho kinakugharimu basi kitu hicho ni liability (dhima) na ambacho kinakuletea mkwanja basi hicho ni asset (mali).
Kama nyumba na gari lako zina kugharimu pesa, financially speaking tutaziita ni liabilities. Lakini kama una nyumba nyingine zina wapangaji na unakusanya kodi tutaziita nyumba hizi assets, hali kadhalika kama una magari mengine yanayokuletea kipato, magari hayo pia ni assets.
Chacharika ili uwe na assets (mali) nyingi kuliko liabilities (dhima). Hapo utakuwa umetoka kwa kiwango cha lami.
Aisee ww jamaa una akili sana.Ist
Ist ya 15mil, 14mil, na 12mil ya nini wakati hapa hapa bongo zipo Alphard au Toyota hiace custom au Nissan caravan za hizo bei tena 15mil zimenyooka na niused from Japan, zimetembea mileage kadhaa.
Mi nasemaga hizo ist, vitz, raum, na mfanano huo sio gari za kigenteleman Bora ununue Pickup Toyota Hilux ndogo new model.
Habari zenu
Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa?
Naomba ushauri wadau
NB: Nimechagua hizo gari kwa ajili ya matumizi madogo ya "wese"
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee akili yetu moja mi nikitaka kununua gari nina nunua ambazo ni multipurpose unayoweza weka hata mkaa au ndizi nikienda uchaggani kwetu 😂😅 na hapo hapo naweza toka nayo.Aisee ww jamaa una akili sana.
Yaani mm mwenyewe huwa nawaza hvyo yaani na ndio maana nachelewa kununua gari ingawa milioni kumi kumi huwa nakuwa nazo.
Vigari vya jamii ya IST,Spacio,Raum na vigari vingine Kama hvyo vinawafaa masistaduu wa mjini.
DahHabari zenu
Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa?
Naomba ushauri wadau
NB: Nimechagua hizo gari kwa ajili ya matumizi madogo ya "wese"
Sent using Jamii Forums mobile app
...kwa hiyo Mkuu uliomba huo mkopo bila business plan yoyote ya kuzifanyia biashara hizo hela?Habari zenu
Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa?
Naomba ushauri wadau
NB: Nimechagua hizo gari kwa ajili ya matumizi madogo ya "wese"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi biashara ya kununua madiwani wa chadema na CUF na kuwauza CCM imeishia wapi.?Nisaidie aina za biashara zinazoenda wakat huu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi biashara ya kununua madiwani wa chadema na CUF na kuwauza CCM imeishia wapi.?
Hahaha dah Jf ni kibokoHivi biashara ya kununua madiwani wa chadema na CUF na kuwauza CCM imeishia wapi.?
Hpna sio mimiYani huyu mleta mada sijui atakuwa ndio yule ninae mfahamu mimi?
Maana kuna jamaa ni dereva kwenye ubalozi wa nchi flani, yeye kachukua mkopo wa mlion 30 kaenda kundelezea nyumba yake alafu nyingine kanunua gari subaru foresta, sasa aliniambia nyumba ameishia kupaua tu na hela imekata.
Duh yan kama bank wangenipigia mahesabu kam hyo yako ningeondoka bila kuaga. No research no right to speakMkopo huu si wa muda wa chini ya miaka 4, riba ni 19% kwa mwaka. Cumulatively atalipa kama sh 63mil hivi.
Gari atakuwa kanunua kwa tsh 30mil. Na kibanda kakianzisha kwa tsh 33mil.
HUU NI UZWAZWA.
Kopa kwa maendeleo ya biashara, sio kununulia liabilities.
Sawa Mwalimu?
Hayo ni mawazo yako binafsiAisee ww jamaa una akili sana.
Yaani mm mwenyewe huwa nawaza hvyo yaani na ndio maana nachelewa kununua gari ingawa milioni kumi kumi huwa nakuwa nazo.
Vigari vya jamii ya IST,Spacio,Raum na vigari vingine Kama hvyo vinawafaa masistaduu wa mjini.
Najua kuwa haya ni nawazo yangu ndio maana nikatanguliza neno "Mimi"Hayo ni mawazo yako binafsi