Nimechungulia kidogo nikaona kuna vikofia na visibau na machawa wanaotetea matumbo yao!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hakuna watu wa maana wamekaa mle kuna takataka tupu.....machawa

Casual observation ni wa dini ile by 98%
 
Mwenyekiti wa Wazee kaenda pale kuomba waongezewe POSHO ..... Sasa hapo utajua waliopo hapo ni watu wa aina gani!!
 
Back
Top Bottom