Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆 Mkuu kumbuka ni siku 1 imebakiKwanza ilikuwa 6 mkuu nimeamua kupunguza makali.
Ungekuwa Britanica au Genta ningeamini , mwepesi mno wewe 😂😂😂Nipo nje ya mji hapa .
Nimechungulia mahali .
Yanga anazabuliwa 3-0.
Hayo ni majibu ya kinyume chakeNipo nje ya mji hapa .
Nimechungulia mahali .
Yanga anazabuliwa 3-0.
Kesho kuna mtu atasahau njia ya kurudi nyumbani nakuambia.Yanga ipo on fire🔥🔥🔥 Yanga imeiva kuwa na kikosi kama hiki ni kama ndoto Wana Yanga kwa muda mrefu walihitaji kuwa na timu kama hii iliyosheheni wachezaji sahihi katika Kila idara pia Ina wachezaji Bora wa kuingia sub.
Inachofanya Simba ni propaganda tu na inajiandaa kuikamia mechi lakini uwezo wa timu ya Simba mpaka sasa umeshaonekana na udhaifu wao umeshaoneka Moja ya udhaifu mkubwa walionao timu ya Simba bado kikosi Chao cha kwanza kina mapengo ya ubora.
Beki yao tegemeo chemalone akipewa presha ana kawaida ya kufanya makosa mengi inayogharimu timu, Mutale mpaka sasa ameonyesha kuwa mbinafsi na msaada hafifu kwa kiungo na washambuliaji wenzake.
Kiungo tegemeo Debora pumzi zinakata mapema pia Debora ni mzuri zaidi mwenye kiungo ukabaji na kutawala dimba lakini hajawa bingwa wa kuichezesha safu ya ushambuliaji mipira yake mingi hurudisha kwa mabeki naye akipewa presha hutoa pasi fyongo pia Simba kwa ujamla haina kikosi kipana kama Yanga.
Yanga kesho inatakiwa iingie na moto wake ule ule , safu ya ulinzi ipo imara ,viungo vya kutosha ,washambuliaji hatari ,muunganiko wa Yanga unaenda kuipiga Simba Kwa mara ya nne mfululizo hakuna kuwaonea huruma maana Simba Bado ana kichaka cha ushindi wa 6-0 aliomfunga Yanga mwaka 1975 wanatamba na rekodi hiyo mpaka Leo pia Wana kichaka cha rank no 7 CAF hivyo dawa yao ni kuwachapa tena kipigo Cha nne mfufulizo hata mechi ya marudiano NBC league waje kupigwa tena kipigo cha tano mfululizo.
😆Kesho kuna mtu atasahau njia ya kurudi nyumbani nakuambia.
Atakaye haribu mpira kesho ni refa Kayoko na maraismen wake ,Kayoko ni mnazi wa Simba na hafichi mahaba yake kwa wachezaji wa Simba.Kesho kuna mtu atasahau njia ya kurudi nyumbani nakuambia.