Nimechungulia mahali Yanga anapigwa 3-0

Nimechungulia mahali Yanga anapigwa 3-0

Atakaye haribu mpira kesho ni refa Kayoko na maraismen wake ,Kayoko ni mnazi wa Simba na hafichi mahaba yake kwa wachezaji wa Simba.

Kayoko kajiandaa kwenda Kukataa magoli ya Yanga watakayomfunga Simba,Kayoko kajiandaa kutoa kadi kwa wachezaji muhimu wa Yanga,Kayoko atapiga filimbi nyingi za offside za washambuliaji wa Yanga akisaidiana na linesmen wake wanazi kama yeye, waneshafanya mara kadhaa hata kesho watarudia Tena na zaidi atawatafutia Simba hata penati mradi tu aikomoe Yanga .

Huyu Kayoko hata CAF wanamjua ndio maana hawamwiti kuchezesha mechi za CAF hata kozi ya VAR iliyoandaliwa na CAF Kayoko hakuitwa anaendekeza Ushabiki na kupenda bahasha ,anatuharibia mpira wetu akishirikiana pia anajiharibia mwenyewe na Moja ya vitu TFF vya ovyo ni kuendekeza vitu vya namna hii , Karia ni kiingozi mzuri lakini tatizo lake kuu ni unazi kuongoza TFF huku akiweka mbele ushabiki kwa timu azipendazo sifa mbaya kabisa kwa kiongozi.
Naona tayari mshaanza kutafuta sababu.
 
Naona tayari mshaanza kutafuta sababu.
Ndio ukweli wenyewe rekodi za Kayoko chuki kwa Yanga zipo wazi hata hao malinesmen Wana rekodi za kuitendea hiana Yanga , hata Karia inajulikana ni shabiki wa Simba na timu ya mkoani kwake coastal kiongozi wa ajabu sana huyu aina ya akina motsepe wa CAF na mamelod yake lakini Yanga kwa mpira wake wa Sasa ina uwezo wa kucheza dhidi ya hila hizo na itaibuka na ushindi tu
 
Nipo nje ya mji hapa .

Nimechungulia mahali .

Yanga anazabuliwa 3-0.
Je kesho wataruka ukuta au watapita mlango wa uwani,ama watachimbia mikaa magolini waliyopewa na aliyejinasibu anatoka sumbawanga.?
 
Mvua imenyesha ni dalili
 
angalia mpesa yako apo nmekutumia kombe la ghahawa.
 
Back
Top Bottom