Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Umetabiri ukweli kabisa.Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban.
Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final.
Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
Una la kusema?
Tisha sana mkuu.Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban.
Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final.
Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
Ngoja waje wasomi uchwara hapa wakuambie uchawi haupo. Mhe.Chenge aliyesoma Harvard anajua uchawi upo, halafu masomo uchwara kutoka DUCE anakwambia uchawi haupo.Uchawi upo
Duh!Hata mimi lakini shida yangu sipendi kutabiri.
mechi itaisha
Simba 0
Stellah 0
Haha, mkuu hii ni editing. Umetumia nafasi vizuri kwasababu hamna aliye quote post yako ya mwanzo.Hata mimi lakini shida yangu sipendi kutabiri.
mechi itaisha
Simba 0
Stellah 0