Nimechungulia mchezo wa kesho Stellebosch vs Simba huko Durban, Matokeo ni Suluhu au Sare

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban.

Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final.

Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
 
Umetabiri ukweli kabisa.
Sasa naomba utabiri ubingwa utaenda wapi kwa Waarabu au kwa Simba?
 
Back
Top Bottom