Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Iko hivi siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni, basi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao. Cha kushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.
Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu, zingine za kudhalilisha.
Je naweza kuwashitaki?
Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu, zingine za kudhalilisha.
Je naweza kuwashitaki?