Nimedaiwa mtandaoni ikiwa bado siku moja ya kufanya marejesho

Nimedaiwa mtandaoni ikiwa bado siku moja ya kufanya marejesho

Hahahha.

Hivi unawekaje wadhamini wa maana ?

Tafuta namba yoyote isiyopatikana jweke kam wadhamini ili ikitokea wana misbehave wasiharibu utu wako.

Wewe andika baa mkwe kama mdhamini kumbe ni namba ya muuza viatu kariakoo,kila wakipiga simu kwa mdhamini wanasikiaaa kelel tuu "BEI YAKE AFU KUMIIIIII,AFU KUMI BEI YAKEEEEEE"
Au achukue namba za simu za wizarani ama mahospitali
 
Kama unahitaji kutengeneza pesa kupitia simu yako smartphone nicheki inbox nikupe maelekezo
 
Back
Top Bottom