Nimedaiwa mtandaoni ikiwa bado siku moja ya kufanya marejesho

Nimedaiwa mtandaoni ikiwa bado siku moja ya kufanya marejesho

Iko hivi siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni, basi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao. Cha kushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.

Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu, zingine za kudhalilisha.

Je naweza kuwashitaki?
Wapuuzi sana hao,ndio walivyo halafu cha ajabu regulators BOT wapo kimiya na rates zao sio rafiki kabisa unakuta ndani ya wiki unalipia mara mbili ya ulichokopa tofauti kabisa na kwenye matangazo yao.

Nchi hii ina mambo ya ajabu sana utafikiri hiyo sekta haina msimamizi
 
Jamaa shida sana...ila wanasaidia , sema kwemye udaiji loh, labda wameona ndio njia pekee ya kupata rejesho lao, na wanapoanza siku moja kabla ni kuhakikisha ile tareh haipiti, ila ndo ivo uvumilivu ..yani riba kubwa +mateso ya kisaikolojia wanapodai na kutishia kuwajulisha watu wako wa kwenye phone book.. japo hio sidhani kama sahihi kuwambia watu walioko kwenye simu yako kuhusu deni..sbb hawakuhusika kwemye mapatano.
 
Iko hivi siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni, basi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao. Cha kushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.

Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu, zingine za kudhalilisha.

Je naweza kuwashitaki?
unakopa li teni unashitaki watu😂😂😂😂 tuache umaskini..... ukiona mtu anakopa kwenye hizi app za pesa huyo hana mipango ya pesa ukipiga hesabu vizuri ten sio hela ya kukopa.... hapo un anamba zaidi ya 200 za watu ila 10k huwezi kusaidika...

tunajiweka mahali ambapo si sahihi kila wakati tunashikilia watu wasio sahihi ni ujinga.

lipa 10k sio kela ya kusubiri mpka siku ya mwisho ya malipo.

alafu ni kutojiongeza kwa watumiaji wa voda tigo zipo huduma kama songesha ambapo unaweza chukua pesa mpka 500+ inategemea unachukuaje na kulipa kwa wakati hun ahaja ya kufhalilika hilo 10k ungekua na matumizi mazuri voda wanakupa unarejesha ndani ya mwezi kuliko kukopa kwenye app ambazo unakuja kuaibika kijinga tu
 
Back
Top Bottom