Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Piga block kotekoteIko hivi ...siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni,...bhasi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao...chakushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.
Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu...zingine za kudhalilisha...je naweza kuwashitaki?piga
Sawa...nafanya hivo mda huu....ni wapumbavu sana jamaaPiga block kotekote
USSR
Yeah kama fedheha tyari nishaipataUsiwalipe
Pole sana... kuwashtaki unaweza kama utajiridhisha kweli wameenda kinyume na makubaliano ya kimkataba, Kwahiyo pitia mkataba wenu unasemaje then chukua hatua.Iko hivi ...siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni,...bhasi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao...chakushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.
Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu...zingine za kudhalilisha...je naweza kuwashitaki?
Kwani wewe mkuu wadhamini wako walisain wapi ili upewe hiyo hela?Iko hivi ...siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni,...bhasi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao...chakushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.
Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu...zingine za kudhalilisha...je naweza kuwashitaki?
Mkuu,,,..nilitaka niwalipe ila wanakauli chafu sana...kama watanizalilisha zaidi sawa tu ila hela siwapiKwani wewe mkuu wadhamini wako walisain wapi ili upewe hiyo hela?
Maana huku mtaani tunapata shida sana zinaingia message za kutufahamisha udhamini wetu kwa watu ambao hata hatujui tumewaona wapi!just mtu alichukua namba yangu akai-save kwa ahadi kwamba atanitafuta kwa ishu fulani basi wakiikuta kwenye simu yake tu basi namjua,hao jamaa ni wazimu.
...kwani unazijua namba zao zote?!Sawa...nafanya hivo mda huu....ni wapumbavu sana jamaa
Nasajili laini nyingine...kwani unazijua namba zao zote?!
halafu unafuta app yao! chaap una uninstall chaaapHahahha.
Hivi unawekaje wadhamini wa maana ?
Tafuta namba yoyote isiyopatikana jweke kam wadhamini ili ikitokea wana misbehave wasiharibu utu wako.
Wewe andika baa mkwe kama mdhamini kumbe ni namba ya muuza viatu kariakoo,kila wakipiga simu kwa mdhamini wanasikiaaa kelel tuu "BEI YAKE AFU KUMIIIIII,AFU KUMI BEI YAKEEEEEE"
Lipa deni mkuu ..au jiandae kisaikolojia wakija ku kucholesha kwa Mama mkwe ,Baba mkweIko hivi ...siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni,...bhasi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao...chakushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.
Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu...zingine za kudhalilisha...je naweza kuwashitaki?
Watumie ujumbe kuwa umekufa usiku wa kuamia leo.Iko hivi ...siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni,...bhasi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao...chakushangaza nimekuwa nikipokea simu na vitisho za kulipa deni Lao.
Nilipohoji kuwa mbona siku bado hata hivo ni kesho wakakata simu nakuwatumia meseji nyingi sana wazamini wangu...zingine za kudhalilisha...je naweza kuwashitaki?