Nimedhulumiwa/ kutapeliwa na tajiri na sioni pa kumpeleka

Duuu bila shaka malori yako yalipiga ruti ya songea machimboni huko
Pole Sana mkuu!

Ngoja wataalamu waje wakupe mwongozo pia nadhani serikali inafuatilia humu,watakusaidia!

Serikali ya wanyonge mkuje huku!
 
Tatizo tabia ya kupenda kujiweka karibu na wenye hela na wenye hela wenyewe tabia zao ndio kama hizo
 

Kama huna mkataba nae basi umetoa sadaka!! Hata hivyo usimlazie damu ,tafuta hela kidogo funga safari nenda Sumbawanga kwa waganga wa kienyeji; wamuoteshe maziwa awe mwanamke!!! Atakutafuta!
 
Nitafute mkuu nikupeleke kwa mzee Mmoja wa kuitwa makombo ya gari, historia yake huyo mzee alipinduka na gari mara kumi na zote hajawahi hata kuchunika, yani huyo tajiri tunamtoa jipu la ulimi mchana kweupee na atakuja mwenyewe kuomba msamaha
 
Wewe ni Mtaanzania?
 
Raha ya JF Madon ni kama wote.
 
uko wapi njoo inbox
 
Biasha
Biashara kama hiyo laima watakuwa wanalipa kwenye mfumo unaoeleweka ...yaani benki...na kigezo cha muhimu kabisa kwenye partnership ni kumiliki akaunti ya pamoja wote mkiwa mna hai sawa.....sasa wewe unatueleza nini kama hata benki akaunti haikuwa ya wote?
 
Samehe pesa huwa inatafutwa "dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi mikono mitupu"
 
Makaa ya mawe ya Mbinga (Ruvuma)?
Una nyaraka zozote Kama risiti nk.?
Uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…