Huku kwetu tunatumia mishale au mpatie busha
Namshangaa.Njoo Mtwara tumsomee Falaq tunamuua dk mbili tu huyo.Malipo Baada ya Kazi.Usiponilipa na wewe nakusomea tu [emoji3].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu tunatumia mishale au mpatie busha
Dah maneno yk makar ila nimekuelewabado napata ukakasi kdg.....umeweza kuwekeza kwa kununua 6 volvo trucks, mpya/used no matter,,, sio pesa ya kitoto....then unaingia mkataba usio na paper...( sijui kama mlikuwa nao).........mpuuzi mliyekubaliana anatumia lorry zako bure, unakuja hapa kulia lia....sitaki kukubali wewe ni MPUMBAFU grade 1!!!!!...sijui ni sh ngapi but bado nasema wewe ni pumbafu.....umekosa hata mwanasheria wa kukupambania kweli......tafuta mwanasheria mpe ishu.....force mahakamani.....tafuta docs zote (gate pass zenye namba ya gari)....mpelekee notice....unalipwa japo kwa mbinde....tengeneza fitina kuanzia kwenye mmiliki wa mgodi wenyewe.........hakuna wa kukupigania haki yako....pigana mwenyewe wanasheria wanamalizia.....usiwe zoba......sometimes unatakiwa kuwa na roho mbaya ...tena mbaya mno....
Matajiri nj watu hatari sana. Wao huwa wanaangalia jinsi ya kumnyonya mtu. Hujifanya wema ili kuwahadaa watu.Halafu utasikia watu wakisema masikini ndio wenye roho mbaya! Hamuwajui matajiri nyinyi.
Naona haujui watu wa machimbo na hela zao.bado napata ukakasi kdg.....umeweza kuwekeza kwa kununua 6 volvo trucks, mpya/used no matter,,, sio pesa ya kitoto....then unaingia mkataba usio na paper...( sijui kama mlikuwa nao).........mpuuzi mliyekubaliana anatumia lorry zako bure, unakuja hapa kulia lia....sitaki kukubali wewe ni MPUMBAFU grade 1!!!!!...sijui ni sh ngapi but bado nasema wewe ni pumbafu.....umekosa hata mwanasheria wa kukupambania kweli......tafuta mwanasheria mpe ishu.....force mahakamani.....tafuta docs zote (gate pass zenye namba ya gari)....mpelekee notice....unalipwa japo kwa mbinde....tengeneza fitina kuanzia kwenye mmiliki wa mgodi wenyewe.........hakuna wa kukupigania haki yako....pigana mwenyewe wanasheria wanamalizia.....usiwe zoba......sometimes unatakiwa kuwa na roho mbaya ...tena mbaya mno....
mkuu machimbo nimepita na naelewa sana.........ni ugeni upi ukanunue 6 heavy trucks ushindwe kujua kama mwanasheria anaweza kukusaidia....thats why mwisho nimemshauri afanye nini....narudia hivi ni mpumbafu sana tuu.......uwe akili za kuamua kununua 6 heavy truck then ushindwe kuwa na udhibiti wa kimatumizi na mapato.......afanyie kazi ushauri nimempa tayari...ni maamuzi yake...ni mali yake...alichoomba tumemmpa.....Naona haujui watu wa machimbo na hela zao.
Jamaa kaeleza wazi kwamba yeye ni mgeni kwenye hiyo tasnia, hivyo usimdharau kwa kumuita mpumbafu kisa wewe unayo exposure.
Kule machimboni kuna watu hawajaenda shule na hawana exposure yoyote, siku ya siku anapata madini anapiga mamilion ya pesa, na hajui afanye nini!
Hivyo huyu jamaa anahitaji ushauri wa kisheria. Kibongobongo watu wengi wanaingia partnership kienyeji, wapo wanaomaliza salama na wengine wanapata misukosuko kama huyu bwana.
Binafsi naona, hata kama unataka kufanya partnership na baba yako, ni lazima mzingatie mfumo wa kisheria, ili hata ukifa ndugu zako wasiseme ni mali ya familia.
Hivyo, tumshauri huyu bwana aende kwa mwanasheria amueleze hali halisi.
Asantemkuu machimbo nimepita na naelewa sana.........ni ugeni upi ukanunue 6 heavy trucks ushindwe kujua kama mwanasheria anaweza kukusaidia....thats why mwisho nimemshauri afanye nini....narudia hivi ni mpumbafu sana tuu.......uwe akili za kuamua kununua 6 heavy truck then ushindwe kuwa na udhibiti wa kimatumizi na mapato.......afanyie kazi ushauri nimempa tayari...ni maamuzi yake...ni mali yake...alichoomba tumemmpa.....