Nimedhulumiwa/ kutapeliwa na tajiri na sioni pa kumpeleka

Dah maneno yk makar ila nimekuelewa
 
Halafu utasikia watu wakisema masikini ndio wenye roho mbaya! Hamuwajui matajiri nyinyi.
Matajiri nj watu hatari sana. Wao huwa wanaangalia jinsi ya kumnyonya mtu. Hujifanya wema ili kuwahadaa watu.
 
Naona haujui watu wa machimbo na hela zao.

Jamaa kaeleza wazi kwamba yeye ni mgeni kwenye hiyo tasnia, hivyo usimdharau kwa kumuita mpumbafu kisa wewe unayo exposure.

Kule machimboni kuna watu hawajaenda shule na hawana exposure yoyote, siku ya siku anapata madini anapiga mamilion ya pesa, na hajui afanye nini!

Hivyo huyu jamaa anahitaji ushauri wa kisheria. Kibongobongo watu wengi wanaingia partnership kienyeji, wapo wanaomaliza salama na wengine wanapata misukosuko kama huyu bwana.

Binafsi naona, hata kama unataka kufanya partnership na baba yako, ni lazima mzingatie mfumo wa kisheria, ili hata ukifa ndugu zako wasiseme ni mali ya familia.

Hivyo, tumshauri huyu bwana aende kwa mwanasheria amueleze hali halisi.
 
mkuu machimbo nimepita na naelewa sana.........ni ugeni upi ukanunue 6 heavy trucks ushindwe kujua kama mwanasheria anaweza kukusaidia....thats why mwisho nimemshauri afanye nini....narudia hivi ni mpumbafu sana tuu.......uwe akili za kuamua kununua 6 heavy truck then ushindwe kuwa na udhibiti wa kimatumizi na mapato.......afanyie kazi ushauri nimempa tayari...ni maamuzi yake...ni mali yake...alichoomba tumemmpa.....
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…