Nimedhulumiwa na Wauza mchele, katika kilo 100 nimekuta kuna upungufu wa kilo 20

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
4,155
Reaction score
11,168
Mwezi wa kwanza niliwahi nunua tani 2 kwa hao hao wauzaji wa mchele ila sikugundua maana nilivyoufikisha stoo vijana waliwahi kuuweka kwenye mifuko ya kinga njaa kwahiyo sikupata nafasi ya kupima kila kiroba.

Leo nimeenda nikachukua viroba vitano vya kilo mia mia,nimefika stoo nimevipima nikakuta kila kiroba kina kilo 80

Sasa nataka niwakomeshe hawa watu ili waache kuwaibia watu,naomba mwongozo nifanyeje,nikawashitaki wapi?,
 
inawezekana hawajakuibia kg zote hizo [emoji848]ikiwa kama mchele ulikobolewa Bado mbichi kwa mbali Huwa unakua mzito, hivyo Baada ya kukaa Saana Huwa uzito unapungua saana
 
Nimeununua leo,baada ya masaa mawili ndo nimeupima kwa kutumia mzani wa digital
 
Hao sio wezi ni majambazi mm nimeelewa wamekwiba kg 100 nzima Duuu. kwenye gunia 5 wamechukua kilo 20× 5 = 100 Alafu umekaaa nazo hizo gunia aaaaah aisee mm ningerudisha mda huohuo wanataka super super profit
 
Hapo ni ngumu...labda ukanunue mwingine ndo uweke mikakati ya kuwakamatas.
 
Mbona upungufu mkubwa hivyo?
 
Upungufu wa kilo 20 unauona kwa macho hata kabla ya kupima. Pengine mzani wako una shida
 
Mwezi wa kwanza niliwahi nunua tani 2 kwa hao hao wauzaji wa mchele ila sikugundua maana nilivyoufikisha stoo vijana waliwahi kuuweka kwenye mifuko ya kinga njaa kwahiyo sikupata nafasi ya kupima kila kiroba.

Leo nimeenda nikachukua viroba vitano vya kilo mia mia,nimefika stoo nimevipima nikakuta kila kiroba kina kilo 80

Sasa nataka niwakomeshe hawa watu ili waache kuwaibia watu,naomba mwongozo nifanyeje,nikawashitaki wapi?,
Wawekeen mtego na mawakala wa vipimo halafu mwisho wa siku wakulipe fidia walizoziiba.

Mbongo jinga sana.

Niliwahi kwenda soko flani nilikita wanapanga viazi mviringo kwenye visado. Ni wizi mtupu wanaufanya.
 
Hapo ni ngumu...labda ukanunue mwingine ndo uweke mikakati ya kuwakamatas.
Ndo nataka nifanye hvyo,sasa sjajua pale inatakiwa niende na polisi au watu gani
 
Hao sio wezi ni majambazi mm nimeelewa wamekwiba kg 100 nzima Duuu. kwenye gunia 5 wamechukua kilo 20× 5 = 100 Alafu umekaaa nazo hizo gunia aaaaah aisee mm ningerudisha mda huohuo wanataka super super profit
Ni umbali wa km 30 toka nilipoununua nataka nipate wakunisaidia ndo nilikuwa nataka nipate mwongozo niende na polisi au na kina nani,nataka nikanunue mwingine
 
Mwezi wa kwanza niliwahi nunua tani 2 kwa hao hao wauzaji wa mchele ila sikugundua maana nilivyoufikisha stoo vijana waliwahi kuuweka kwenye mifuko ya kinga njaa kwahiyo sikupata nafasi ya kupima kila kiroba.

Leo nimeenda nikachukua viroba vitano vya kilo mia mia,nimefika stoo nimevipima nikakuta kila kiroba kina kilo 80

Sasa nataka niwakomeshe hawa watu ili waache kuwaibia watu,naomba mwongozo nifanyeje,nikawashitaki wapi?,
Mkuu next time hakikisha unakuwa na wakili ili aandae mkataba wa manunuzi kwani siku hizi utapeli ni speed ya Formula one
 
mmmh 20kg ni nyingi, ulishindwa kabisa kugundua maana unaonekana ni mnunuzi wa mchele, badilisha mzani upime tena pengine calibration ya huo mzani sio sawa
 
Back
Top Bottom