0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Mwezi wa kwanza niliwahi nunua tani 2 kwa hao hao wauzaji wa mchele ila sikugundua maana nilivyoufikisha stoo vijana waliwahi kuuweka kwenye mifuko ya kinga njaa kwahiyo sikupata nafasi ya kupima kila kiroba.
Leo nimeenda nikachukua viroba vitano vya kilo mia mia,nimefika stoo nimevipima nikakuta kila kiroba kina kilo 80
Sasa nataka niwakomeshe hawa watu ili waache kuwaibia watu,naomba mwongozo nifanyeje,nikawashitaki wapi?,