Nimedokezwa na mtu kuwa wapo wengi tu watajiunga NCCR Mageuzi

Natamani 2025 ccm ishinde kwa 100%
Ichukue viti vyote vya ubunge + madiwani
Ili baadae tujifunze faida ya kuwa na upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna asojua kwamba upinzani una faida zake, upinzani unauza Taifa kwa imperialists ili tu wapate madalaka hakuna anayewahitaji, upinzani unaopigana vita upande wa adui dhidi ya Taifa lao wakati wa vita (janga) sio tu hawastahili kuwa viongozi bali hawana hata haki ya kuishi ndani ya mipaka ya nchi.
 
Hahaha..kweli usolijua ni kama usiku wa giza, kauli ya Rais ni sheria, huyo ndo KUB ajaye.
Ili tu pawe na 'upinzani' wa kuimba mapambio? Mnadhani ndio itawasaidia kuwakandamiza watz na nyie wasaka tonge kuokoteza na kujilia (makombo) zaidi, bila kuhojiwahojiwa?
Shetani kweli katawala utashi wenu. POLENI hamtafanikiwa.
 
u usamehewe maana haujuiuandikalo
 
Taarifa yako inapunguzaje Bei ya sukari..?

Swali la kijinga kwenye hoja jadilishi, ukitaka kuleta hoja ya bei ya sukari anzisha uzi, tutachangia pia.
Watanzania tumekuwaje, hatuna hoja ya kusaidia nchi ila ni majungu tu, umasikini hautaisha kama mawazo ndo kama haya.
 
Who cares?Kile kinajulikana n kituo cha mapumziko Fisiemu haijawah kuukubali upinzan wa kwel kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kijinga kwenye hoja jadilishi, ukitaka kuleta hoja ya bei ya sukari anzisha uzi, tutachangia pia.
Watanzania tumekuwaje, hatuna hoja ya kusaidia nchi ila ni majungu tu, umasikini hautaisha kama mawazo ndo kama haya.
Sawasawa
 
Kaka, nasikia meko amekumbwa na koona. Vipi anaendeleaje? Tunamuombea kwa kweli apone haraka.
 
Kamanda utaanza kumuamkia Zitto baada ya Chadema kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kuwa na busara japo ya Iq 12 leo hii watanzania sio wale wa Zamani huwezi kuiuwa chadema

Na ukizidi kuikandamiza Chadema itakwenda Underground na ndio hatari sana kwa maana TANU ilianza kufanya siasa underground mpaka mkoloni akatoka

Underground huzaa armed rebellion ogopa sana bwashee
 
aarifa yako ya kweli kabisa. Hata viongozi wa Kanda hawalipwi. Kama ungekuwa hapa Mwanza City, ungewaona viongozi wao wanavyodowea pombe kwenye baa za jirani na Ofisi ya Kanda pale Kona ya Bwiru! Wengine wanavaa magwanda mwezi bila kufua mpaka wanatoa harufu!
 
Magufuli anachezea fedha za walipakodi kwa kumpa huyo shushushu ili akanunue madiwani Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…