Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

Ghana hakuna wanawake? ..kaa ukijua kuwa akili ya mwanaume ni kufanya mapenzi tu basi
 
ghana=nigeria....ukikubali kwenda tu ujue umeuzwa.. videmu vya kitanzani a vikiona mtu anaongea kingereza chu*i zinavivuka
chinekeeee!!!!!! kheeee hivi kumbe kiingeletha nacho kinavua mtu chupi? kumbe hata vile vitu in between two legs vinajua kithungu.... teh teh... mi najuaga vile vidude ni kiziwi na bubu na huwa vinaongea vinaelewana kumbe vinasikiaga kiingeletha.
 
Dah yan mpk unaanza kuwa na fikra na mtu mwingne ujue mtz humpendi..eti amekwambia hapendi kushea mapenzi umwache mpnz wako..nayy je atamwacha wake..minaona km ww huna shughuli ya kufanya..sikia kengele tulia na wako


yaani maisha ya mahusiano ni magumu jamani...uko na mtu kumbe mwenzio hata hana mpango na wewe yuko busy huko anaangaza angaza...
pole zake huyo mwenye wewe!
 

B my lava....b my lavaaaa tararalila lalila..taralalrarila ohhhh ..b ma lava.....tuh tuh...m just singing beb....
niaje pande ileeeeeeeeeeeeeeeeee ?awajambo wote?
mi miss woooooooooooote hi to ol hasa SAIDI
 
usiache mbachao kwa msala upitao.....
Tuulize manguli tukujuze, utaenda Ghana utaishia kuwa sex slave.
 
B my lava....b my lavaaaa tararalila lalila..taralalrarila ohhhh ..b ma lava.....tuh tuh...m just singing beb....
niaje pande ileeeeeeeeeeeeeeeeee ?awajambo wote?
mi miss woooooooooooote hi to ol hasa SAIDI
Abegwoo abegwoo chinekee all dem people are doin fine ohooo, i got no moniii to go Ghana ohooo talk to papa and broda to talk to my sistoo to send me moniii i want to go to Ghana and Abuja i have seen some beautiful Ghana women tell papa to send me moniii plz abegwoo abegwoo
 

hey onkokooo wat is ths now ohhhh...you are tellng me practically to send u to anaza gel....infact the cast one from ghana?.....ohh brazaaa ova ma ded body yoooo i wont do dat....

ehh incheme ..wor out ohh i wl send emeka to give u some naira and fasta u should go to songea...infakt peramiho to collect a beautfull woman by the name of KADALA....EHH no wonderr ohh our aunt inn ngoz is there to take u there....

m just finalizing my popa wek..here in lagos after 2days i wl go to naija....!!!

c u
 
Ghana hakuna wanawake? ..kaa ukijua kuwa akili ya mwanaume ni kufanya mapenzi tu basi

eh eh hili nalo neno... khee sikujua kama wanaume wanawaza kufanya kapenzi tuuuuu baaaasi. hebu nikampekue upya mume wangu huenda ni demu yule maana naona pamoja na kufanya hayo mapenzi akili yake nying huitumie kusaka mahela ndio tunaishi maisha mazuri...
 
<br />
<br />
Meaning?
The difference between School and life is......In school you are taught a lesson and then given test, in life you are given a test that teaches you a lesson.....Shimboni Mbe
 
Thanks The boss but hata angesema anataka kushare bado nicngeweza kuwa two in one....Kinachoniumiza ni jinsi gani ntaachana na huyu mtz
 
Si hivyo bht...unaweza pata mtu ukajua ndo mwenyewe na ukampenda kwa dhati lakini anapotokea yule uliyepangiwa moyo huchenji
 
Muulize vizuri huyo kaka.lazima atakua amezaliwa Nigeria na kukulia ghana au amezaliwa Ghana na kukulia Nigeria.akikuambia hivyo kuwa makini sana.halafu usimuache mpenzi wako kisa mghana.kwani ghana kitu gani?lakini inategemeana kama unaona mpenzi wako hana mpango wakukuoa na mghana katangaza nia haina tabu,anachotakiwa ni kufuata utaratibu wa ndoa za kibongo.akisema uende kabla hajaja huku umekwisha.mia
 
Thanks The boss but hata angesema anataka kushare bado nicngeweza kuwa two in one....Kinachoniumiza ni jinsi gani ntaachana na huyu mtz

Acha mawazo ya kimalaya malaya wewe binti.......
fikiria mustakabali wa maisha yako kwanza ebo...................................
 
Si hivyo bht...unaweza pata mtu ukajua ndo mwenyewe na ukampenda kwa dhati lakini anapotokea yule uliyepangiwa moyo huchenji

mdogo wangu umeongea mpaka nimekuonea huruma...

nikuulize....umejuaje huyu ndo umepangiwa na si yule mtz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…