Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Huyu anatamani kuibiwa.....atajuta baadae!ghana=nigeria....ukikubali kwenda tu ujue umeuzwa.. videmu vya kitanzani a vikiona mtu anaongea kingereza chu*i zinavivuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anatamani kuibiwa.....atajuta baadae!ghana=nigeria....ukikubali kwenda tu ujue umeuzwa.. videmu vya kitanzani a vikiona mtu anaongea kingereza chu*i zinavivuka
Lame excuse....... Yaani hata haujajipa hata muda na mustakabali wa kufikiria maisha yako kwanza, yaani unaacha huyu unashika yule au ndio kwa vile umesikia huyo mghana ni President wa kampuni (Sijui kama anasema kweli au la maana mimi mwenyewe naweza kukuhadaa nikatengeneza website nikaweka picha yangu kusema mimi ni CEO wa kampuni fulani ambayo hata it does not exist) ndio unashawishika yaani bibie unataka kurudi rivasi kwa kutumia handbreak by the way sisi tunasema tu at the end of the day you know what is right and wrong for you maana huwa hamchelewi kuja na kuanzisha thread tena "Jamani yule kaka mghana niliyempata facebook ni tapeli"Yaonekana hayuko sirias na uhusiano wentu coz ugomvi kidogo tu ......hukimbilia kuuliza kama tunaachana au laaaa...nami ntajibu nini badala ya kusema hapana
Binti ameishaambiwa jamaa ni President sijui wa kampuni gani kwanini asidateInavyoonekana wewe umedata na huyo jamaa cuz ni mghana na c vinginevo..hebu tulia na mtz..kwani uyo mghana uzijui tabia zake..maoni yangu ni hayo.
Umewahi kujadiliana nae kujua chanzo cha mkwaruzano wenu? Sikushauri uachane na mpenzi wako kisa huyo mghana....Nyumba kubwa Thanks <br />
But haya yameanza hata kabla cjamfahamu Mghana
Inavyoonekana wewe umedata na huyo jamaa cuz ni mghana na c vinginevo..hebu tulia na mtz..kwani uyo mghana uzijui tabia zake..maoni yangu ni hayo.
Kadata na upresident.....kaaazi kwelikweliBinti ameishaambiwa jamaa ni President sijui wa kampuni gani kwanini asidate
ana ndoto za kuwa first lady...Si hivyo tu, pia jamaa kamwambia yeye ni President wa kampuni, na ina website ambayo mrembo ka browse na kukuta ni kweli. Basi mtoto wa kike kadata kabisa. Kwani hata mimi nikianzisha Masaki Enteprises Ltd, nikaifungulia na website (mara ya mwisho kulipia website hosting ilikuwa dola 100 kwa mwaka, very affordable). Nikajiweka pale kwamba ni president wakati kampuni yenyewe mapato yake hayazidi hata Shs. milini 2 kwa mwaka, naweza kuwapanga warembo wa kwenye facebook mpaka basi. Bahati nzuri sisi wengine si mafisadi wa mapenzi!
Ni kweli...miaMuulize vizuri huyo kaka.lazima atakua amezaliwa Nigeria na kukulia ghana au amezaliwa Ghana na kukulia Nigeria.akikuambia hivyo kuwa makini sana.halafu usimuache mpenzi wako kisa mghana.kwani ghana kitu gani?lakini inategemeana kama unaona mpenzi wako hana mpango wakukuoa na mghana katangaza nia haina tabu,anachotakiwa ni kufuata utaratibu wa ndoa za kibongo.akisema uende kabla hajaja huku umekwisha.mia
ana ndoto za kuwa first lady...
Kamba tu hizo....naweza nikatengeneza website ya kampuni feki nikajiita CEO,nikapata mpaka dili na serikali ya TZ.Haichukui hata masaa mawili,mpe uraia huyo mpopo aje kuiba dhahabu zetu.Thanks Russian
amekwisha niambia kampuni anoyofanya kazi na nimetafuta web yake kweli iko na yeye ndo president.....ni yeye ndo anataka kuja kunipa hi c mimi naenda....
<br />Hahahaha! Ndio maana unaambiwa, akili za kuambiwa changanya na za kwako. It's very easy for someone to fake his identity on the net. Ila ndio hivyo, yaelekea huyu dada hana exposure ya kutosha. Tumsadie tu mawazo ili asijenasa kwenye huo mtego wa tapeli wa mapenzi!
<br />
<br />
Hakuna haja ya kumnyali binti wa watu kiasi hicho watu mnavofanya.
Mshaurini tu mwisho wa siku ataamua mwenyewe.
Mmekuwa kama mbogo....wakaliii, jamani wadogo zenu wataogopa kuwaambia mambo yao!
Dah! kweli Dunia hadaa ulimwengu shujaa. My dear usihadaike, FB imejaa matapeli, mie nliwahi kuchati na mnigeria mmoja, luckily nlimdanganya naishi mwanza na yeye akanambia yuko Dar na ansoma Muhimbili, akademand kuja kunitembelea MZA nikamwambia kuwa muda mwingi huwa sipo coz nafanya kazi za kuzunguka. akanambia yeye anapenda akimaliza shule kama atapata mtu ataoa mtz, bahati nzuri mie sikuwa "into him" so nkampiga chenga mno. Juzi nkaangalia profile yake baada ya kutokumsoma muda mrefu, nkagundua kuwa ni footballer wala hana cha kusoma wala nn. Nilipomuuliza akanambia "Please Let me explain".
Thanks Bombu.....I will be ......Ila moyo ukishaangukia ni vigumu kuuokota but I will try
Huyoo footballer labda hakuta ujue kazi yake ndo maana akakudanganya.....
I like hiyo meseji yako kapo chini....SOMETIMES NONE OF THE ANSERS GET IT JUST RIGHT
Matapeli wamekua wengi nowadays... be careful.... I met ths guy kwa facebook, Mtanzania, na anatoka maeneo ya kwetu... so kwa kuona surname yangu akujua he is my hommie... kwa alianza kunisalimia kwa lugha... added him as friend. Ndani ya wiki mbili akasema kwao kuna matatizo hivyo nimsaidie laki 5, atamtuma ndugu yake aje achukue... i was suprised... nikahisi the guy must be tapeli... nikaanza uchunguzi wazi...
Unaambiwa siku hizi when u meet a guy or lady... Google him/her.... nikafanya hivyo...
Nikabaini yafuatayo:
At this point Flovans... i cant advise you eti umwache... matters of the heart are complex... unampa mtu advise, ambayo wewe mwenyewe ikikotokea huwezi kuapply... so do the following:
- Ni mwanafunzi wa Masters...tena mickeymouse programme... na siyo PHD kama alivyodai...
- Siyo single kama alivyodai, he is married man alioa mwaka Disemba 2001 huko Marekani,
- Umri... Alisema ana 40 badala ya 44...
- Google him....
- Jua ndugu zake
- Hakikisha unamwona kwa web cam... kujua ni yule uliyempenda kwa facebook
- We kwenda kuna advantage ya kumjua kwa kiasi, at least u know anaishi maisha gani...
Dah! kweli Dunia hadaa ulimwengu shujaa. My dear usihadaike, FB imejaa matapeli, mie nliwahi kuchati na mnigeria mmoja, luckily nlimdanganya naishi mwanza na yeye akanambia yuko Dar na ansoma Muhimbili, akademand kuja kunitembelea MZA nikamwambia kuwa muda mwingi huwa sipo coz nafanya kazi za kuzunguka. akanambia yeye anapenda akimaliza shule kama atapata mtu ataoa mtz, bahati nzuri mie sikuwa "into him" so nkampiga chenga mno. Juzi nkaangalia profile yake baada ya kutokumsoma muda mrefu, nkagundua kuwa ni footballer wala hana cha kusoma wala nn. Nilipomuuliza akanambia "Please Let me
explain".
Thanks Bombu.....I will be ......Ila moyo ukishaangukia ni vigumu kuuokota but I will try
Huyoo footballer labda hakuta ujue kazi yake ndo maana akakudanganya.....
I like hiyo meseji yako kapo chini....SOMETIMES NONE OF THE ANSERS GET IT JUST RIGHT
Matapeli wamekua wengi nowadays... be careful.... I met ths guy kwa facebook, Mtanzania, na anatoka maeneo ya kwetu... so kwa kuona surname yangu akujua he is my hommie... kwa alianza kunisalimia kwa lugha... added him as friend. Ndani ya wiki mbili akasema kwao kuna matatizo hivyo nimsaidie laki 5, atamtuma ndugu yake aje achukue... i was suprised... nikahisi the guy must be tapeli... nikaanza uchunguzi wazi...
Unaambiwa siku hizi when u meet a guy or lady... Google him/her.... nikafanya hivyo...
Nikabaini yafuatayo:
At this point Flovans... i cant advise you eti umwache... matters of the heart are complex... unampa mtu advise, ambayo wewe mwenyewe ikikotokea huwezi kuapply... so do the following:
- Ni mwanafunzi wa Masters...tena mickeymouse programme... na siyo PHD kama alivyodai...
- Siyo single kama alivyodai, he is married man alioa mwaka Disemba 2001 huko Marekani,
- Umri... Alisema ana 40 badala ya 44...
- Google him....
- Jua ndugu zake
- Hakikisha unamwona kwa web cam... kujua ni yule uliyempenda kwa facebook
- We kwenda kuna advantage ya kumjua kwa kiasi, at least u know anaishi maisha gani...
You are real a Senior Counsel
Thanks kwa ushauri mzuri.....ntaufanyia kazi
Guys kuendelea kunipondea hakunisaidii....nilichoomba ni ushauri na c kingine........atakaenijaji visivyo ni maamzi yake na siwezi kupinga.....lakini waza ingekuwa ni wewe.....nimeamua kuomba ushauri kupata mawazo yenu but mnaendelea kunikandamiza tu..................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Hawa watu wa Afrika ya Magharibi si waaminifu sana, Jaribu kumchunguza kwanza, kuna Case nyingi za watu kutapeliwa kupitia Internet, huwa wanajifanya wazuri sana kwenye Internet lakini mwisho wa siku unalizwa.
Kuwa mwangalifu na huyo CEO.
Lakini usisahau kuwa Furaha ya Maisha unaitengeneza mwenyewe.[/QUOTE
https://www.jamiiforums.com/members/renegade.html
Asante Renegade
Meseji sent my dear......
Hawa watu wa Afrika ya Magharibi si waaminifu sana, Jaribu kumchunguza kwanza, kuna Case nyingi za watu kutapeliwa kupitia Internet, huwa wanajifanya wazuri sana kwenye Internet lakini mwisho wa siku unalizwa.
Kuwa mwangalifu na huyo CEO.
Lakini usisahau kuwa Furaha ya Maisha unaitengeneza mwenyewe.