Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

Kwa kweli tumlaumu huyo bf wake wa ki tz kwa makosa
mpaka dada anataka kuangukia kwa mghana.......

Dah! kweli Dunia hadaa ulimwengu shujaa. My dear usihadaike, FB imejaa matapeli, mie nliwahi kuchati na mnigeria mmoja, luckily nlimdanganya naishi mwanza na yeye akanambia yuko Dar na ansoma Muhimbili, akademand kuja kunitembelea MZA nikamwambia kuwa muda mwingi huwa sipo coz nafanya kazi za kuzunguka. akanambia yeye anapenda akimaliza shule kama atapata mtu ataoa mtz, bahati nzuri mie sikuwa "into him" so nkampiga chenga mno. Juzi nkaangalia profile yake baada ya kutokumsoma muda mrefu, nkagundua kuwa ni footballer wala hana cha kusoma wala nn. Nilipomuuliza akanambia "Please Let me

explain".

Thanks Bombu.....I will be ......Ila moyo ukishaangukia ni vigumu kuuokota but I will try

Huyoo footballer labda hakuta ujue kazi yake ndo maana akakudanganya.....

I like hiyo meseji yako kapo chini....SOMETIMES NONE OF THE ANSERS GET IT JUST RIGHT

Matapeli wamekua wengi nowadays... be careful.... I met ths guy kwa facebook, Mtanzania, na anatoka maeneo ya kwetu... so kwa kuona surname yangu akujua he is my hommie... kwa alianza kunisalimia kwa lugha... added him as friend. Ndani ya wiki mbili akasema kwao kuna matatizo hivyo nimsaidie laki 5, atamtuma ndugu yake aje achukue... i was suprised... nikahisi the guy must be tapeli... nikaanza uchunguzi wazi...

Unaambiwa siku hizi when u meet a guy or lady... Google him/her.... nikafanya hivyo...

Nikabaini yafuatayo:

Ni mwanafunzi wa Masters...tena mickeymouse programme... na siyo PHD kama alivyodai...

Siyo single kama alivyodai, he is married man alioa mwaka Disemba 2001 huko Marekani,

Umri... Alisema ana 40 badala ya 44...

At this point Flovans... i cant advise you eti umwache... matters of the heart are complex... unampa mtu advise, ambayo wewe mwenyewe ikikotokea huwezi kuapply... so do the following:

Google him....

Jua ndugu zake

Hakikisha unamwona kwa web cam... kujua ni yule uliyempenda kwa facebook

We kwenda kuna advantage ya kumjua kwa kiasi, at least u know anaishi maisha gani...

You are real a  Senior Counsel

Thanks kwa ushauri mzuri.....ntaufanyia kazi

Guys kuendelea kunipondea hakunisaidii....nilichoomba ni ushauri na c kingine........atakaenijaji visivyo ni maamzi yake na siwezi kupinga.....lakini waza ingekuwa ni wewe.....nimeamua kuomba ushauri kupata mawazo yenu but mnaendelea kunikandamiza tu..................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Wengi wanakuwa wakali kwa sababu wameathirika na utapeli wa mtandaoni.

wala usijali vipondo flovans, haya mambo haya mjuzi! Yanawapata wajanja wa mjini na wakuja hali kadhalika.

Mtu anadanganywa hata na yule waliyefahamiana kwa muda mrefu(kuonana)

Cha muhimu wewe chukua ushauri na vipondo na kejeli viache

Kwa kweli tumlaumu huyo bf wake wa ki tz kwa makosa

mpaka dada anataka kuangukia kwa mghana.......

Kumlaumu sioni busara, maana hata yy flovans usikute anachangia kumfanya jamaa yake aishie kusema 'Tunaachana au...' wengine tunakoseaga kuangalia mapungufu ya wenzetu na kusahau mangapi yetu wao wanatuvumilia. Matokeo yake tunakimbilia kufanya maamuzi yanayoweza kutugharimu zaidi....

Flovans, ongea na mwenzako, inaweza kusaidia kutatua hiyo mizozo.

Ur nt normal u need brain therapy, don't get scared from my comment am a psychoanalytic expert.

D5XOdk4w71pVAAAAAElFTkSuQmCC
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF

Mimi nakushauri hata huyo bf wako wa sasa umuelekeze ulivo hook kupitia face book ili naye atafute mghana wa kike hapo utakuwa umemtendea haki. u never know siku moja mnaweza kukutana ghana wote mmekwishakuwa disappointed na mapenzi yao mkarudiana!

Tene nilisahau kukwambia kkuwa hauko peke yako hata mpenzi wangu aliwahi kupata mpenzi ndani ya net akamwambia siri zake na zangu zote mpaka za kitandani! hapo ni kwa charts na picha bila kuonana physically!

What happened mke wa jamaa akawashtukia na kumfungukia mwizi wake kwamba anakudanganya sio mkurugenzi ni dreva na sio single ni married mke wake ni mimi na tuna watoto watatu.

Ila nilimsamehe na bado niko naye mpaka sasa ila siachagi kumuona allivyo mjinga kwani hajaacha kutafuta wanaume kwa njia hiyo na kuwakaribisha kumvua k...... yake!!

Dah! kweli Dunia hadaa ulimwengu shujaa. My dear usihadaike, FB imejaa matapeli, mie nliwahi kuchati na mnigeria mmoja, luckily nlimdanganya naishi mwanza na yeye akanambia yuko Dar na ansoma Muhimbili, akademand kuja kunitembelea MZA nikamwambia kuwa muda mwingi huwa sipo coz nafanya kazi za kuzunguka. akanambia yeye anapenda akimaliza shule kama atapata mtu ataoa mtz, bahati nzuri mie sikuwa "into him" so nkampiga chenga mno. Juzi nkaangalia profile yake baada ya kutokumsoma muda mrefu, nkagundua kuwa ni footballer wala hana cha kusoma wala nn. Nilipomuuliza akanambia "Please Let me explain".

Thanks Bombu.....I will be ......Ila moyo ukishaangukia ni vigumu kuuokota but I will try
Huyoo footballer labda hakuta ujue kazi yake ndo maana akakudanganya.....

I like hiyo meseji yako kapo chini....SOMETIMES NONE OF THE ANSERS GET IT JUST RIGHT

Cha muhimu ni kuwa uwe makini, na utambue hawa ndugu zetu wana maisha ya mama ndo atafute tofauti na huku kwetu utakuta mama una kipato lakini baba ndo kila ki2. So usije ukakimbia mbio ndefu na bado usiwe mshindi wa mbio hizo. Trade with care, coz todays world is the world of benefit

Kuna wakati katika TV za dini za kikristo zaidi Emmanuel tv ya T.B JOSHUA wa NIGERIA walikuwa wanatoa tahadhari kwa wanaume na wanaweka wanaopata wenza kupitia mitandao ya kijamii kuwa waangalifu na watu wa aina hiyo ambao hauwafahamu kwani kuna watu waliishia kuwa na mahusiano na majini mahaba na matokeo yake wanatokewa usiku na watu hao (majini) kwenye ndoto na kufanya nao mapenzi. Walipona baada ya kuombewa, kuwa makini na watu wa namna hiyo usije kuishia kuwa uhusiano na jini badala ya binadamu mwenzako. Siyo vizuri kumu-add mtu kwenye facebook kama haumfahamu.

D5XOdk4w71pVAAAAAElFTkSuQmCC
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF[/QUOTE

Avatar yako inajieleza kua wewe niwanamna gani.......Think twice.

Utamaliza mabucha dadaaa, ila nyama utakayoipata ni ileile. Utamu utakaopata kutoka kwa mghana hauna tofauti na wa huyo mshikaji. Alafu, je umemwambia mshikaji kuwa kuna jamaa wa kighana umemzimikia na je, is he okay with that? Je kama ndiyo mshikaji is telling you the same habari, frankly speaking, from deep inside your heart, what would you feel? Acha hizo bana.

do you want to die try so and you can see what will happen to you..

32
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF

Wewe unapenda kushea???

Thanks The boss but hata angesema anataka kushare bado nicngeweza kuwa two in one....Kinachoniumiza ni jinsi gani ntaachana na huyu mtz

Kwa nn ushindwe wakati umeweza kumchanganya bf wako na huyo mghana? Au unadhani ku cheat ni mpaka kitendo kifanyike?kama hupendi kuchanganywa na wewe usiwafanyie wengine.

Ni lini dada zetu wa Kibongo mtaacha yatuatayo?;
1. Kushobokea watu wa nje ya nchi. Yaani wadada wa Kibongo akishasikia mwanaume ana utaifa wa nchi nyingine hata iwe Zimababwe kwenye njaa, au Southern Sudan walikopata uhuru juzi, basi anachanganyikiwa kabisa.
2. Kuchukulia hisia za wapenzi wenu ''for granted''!. Yaani haingii akilini unakutana na mtu kwenye facebook anakuambia achana na mpenzi wako na wewe unakubali. Hizo ni akili au matope?

Get a life and go back to your senses.
heheee sipati picha eti unaolewa kwa mbwembwe halafu unapelekwa sudan kusini /zimbabwe mbona utakumbuka kijijini kwenu ambako hata babako hakuthubutu kukuacha kwa bibi yako !!!!! masaki si kila mtu amewahi kuvuka mipaka kaka, kwa wacheche tuliiobahatika hilo tunaweza kujua thamani ya tanzania angalau si kwa yote lakini tanzania pana maisha mazuri ukituliza akili

Nakushahuri SANA usiachane na mpenzi wako, usiendi Ghana kumuona. Hakikisha yeye anakuja kukuona ulipo sababu ni familiar groung. Akae wiki kadhaa, umsome. Kama unaweza muombe kukutana na ndugu zake kadha online. Kama alikwambia alisoma shule fulani ao University fulani tafuta jina lake kwa old students. kama anafanya kazi jaribu kucheki ni campuni gani. kwenye face book ingia kwa relations zake uwaone wamekaaje.

Be VERY cautious.

ushauri wako umeenda shule.
Kwa kuongezea, asimpe ukaribu zaidi hadi hado atakapomuelewa vizuri.

Unapofanya maamuzi yako kumbuka HAKUNA ready made love. So kumpata mghana tu sio solution jenga mapenzi na uliye naye vinginevyo utakuwa unaongeza idadi ya wapenzi kadili ya unavo fungua face book

Back
Top Bottom