Mwache77
Senior Member
- Jun 3, 2011
- 174
- 57
Hvyo hvyo tena haraka afanyekwanza we inaonekana kahaba, mtanzania mwenye akili huwezi kuweka mkojo unaonuka kiasi hiki sebuleni. Afu if possible badilisha hiyo avata yako, coz huenda ikasadifu yaliyomo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hvyo hvyo tena haraka afanyekwanza we inaonekana kahaba, mtanzania mwenye akili huwezi kuweka mkojo unaonuka kiasi hiki sebuleni. Afu if possible badilisha hiyo avata yako, coz huenda ikasadifu yaliyomo.
Si hivyo bht...unaweza pata mtu ukajua ndo mwenyewe na ukampenda kwa dhati lakini anapotokea yule uliyepangiwa moyo huchenji
wanashangaa sana kuona kuona baadhi ya wanawake wa kibongo wana wanaume zaidi ya mmoja, si unajua tulivyo wanjanja wajanja
Teh teh teh teh...Kate bana.! Kwanza yaonekana kama uomeongea kwa kutumia uzoefu. Pili, kumbe ni ndivyo mlivyo eeeh? Eti mko wajanja wajanja....teh teh teh....angalau wewe unasemaga ukweli.
Dadae eeh! yote ya nini ya old school ili iweje? We mwanadada unawahafahu watu wa WEST AFRICA au unashoboka tu na hizo facebook zenu?? Nahis una wazimu kama siyo kichaa. Kaa na huyo boyfriend wako wa kibongo anatosha, hizo tamaa nyingine za kupigiana simu achana nazo hazikusaidii kitu wewe.
Ni ushauri tu tena wa bure! ukitaka kuprove ninachokwambia mkaribishe.
Thank you for this useful postKi ukweli wadada wa kibongo tuko very desperate na ndoa, pale anapokuja mtu akakusoma akakkujua vizuri anakuja kwa gear hiyo hiyo ya kuoa. Sasa kama siyo mjanja unaishi kulia machozi tu, umeshalalwa na humuoni tena.
Wanawake ebu tufunguke macho tuache tamaa za kishenzi, pale tunapopendwa hatutaki, tunapodanganywa tunastic. Tuombe Mungu jamani atutie nguvu na kutupa waume wema vinginevyo tutakaribisha mauzauza kwenye maisha yetu!
Glory be to GOD.
Aisee!!!Nakuja baadaye!
Imagination ya British Airways to Ghana. Ukifika kule mnaenda kwa Mtogole ya kule. Shauri yako!
<br />kwel we kahaba,yaan mshkaji ulienae umkubali?acha tamaa,ghana kitu gani.control ya feelings zickuenslave.umekunya kwenye public squore