Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

kwanza we inaonekana kahaba, mtanzania mwenye akili huwezi kuweka mkojo unaonuka kiasi hiki sebuleni. Afu if possible badilisha hiyo avata yako, coz huenda ikasadifu yaliyomo.
Hvyo hvyo tena haraka afanye
 
Ngoja mvua ikunyeshee,uje tena Jf ku 2hadithia wahi mama muache huyo mtanzania nenda ghana ukale bata
 
Pole sana, kimsingi love doesn't ask why. lakini jihadhali sana na online romance kwakuwa waweza kuangukia kivuli ukaishia kujuta.

Pia sitaki kuwa pessimist lakini ukanda huo kuna internet hackers kibao.

Kwahiyo dadangu ningekushauri u2lie 2 na ulonaye ili mtimize malengo yenu.

Pole we jichunge just use ur third eye 2 read btn the lines so as 2 detect the trap!
 
Si hivyo bht...unaweza pata mtu ukajua ndo mwenyewe na ukampenda kwa dhati lakini anapotokea yule uliyepangiwa moyo huchenji

Baby ngoja nikupe siri ya hawa watu nimefanya nao kazi na kuishi nao, wapo very romantic, na wanajua sana kumcare mwanamke,wana maneno matamu kama mate, unaweza kumkana ulienae ukikutana na hao watu, ila ni malaya kupindukia ana uwezo wa kuwa na wanawake watatu na wote akawajali kwa viwango sawa,wanapenda kuoa kwao wanajisemea wenyewe wanawake wao ni wavulivu na waaminifu tofafauti na wanawake wa kibongo,wanashangaa sana kuona kuona baadhi ya wanawake wa kibongo wana wanaume zaidi ya mmoja, si unajua tulivyo wanjanja wajanja, ukimfuma na demu basi kushney au bif lake lazima abwage manyanga, lakini wanawake wao full uvumilivu wanajali zile care wanazopata kutoka kwa wanaume zao so hawawafatilii sana,

Wakati mnatumiana atakupa care yote unayoitaka, kamwe hatokupeleka ghana kaa ukilijua hilo, WANACHUNIKA KIRAHISI SANA, bibie kama umemlove wee chuna tu hakuna ndoa hapo, na kaka yangu mtz mjulishe kuwa kuna sehemu unachuna
 
wanashangaa sana kuona kuona baadhi ya wanawake wa kibongo wana wanaume zaidi ya mmoja, si unajua tulivyo wanjanja wajanja

Teh teh teh teh...Kate bana.! Kwanza yaonekana kama umeongea kwa kutumia uzoefu. Pili, kumbe ni ndivyo mlivyo eeeh? Eti mko wajanja wajanja....teh teh teh....angalau wewe unasemaga ukweli.
 
Teh teh teh teh...Kate bana.! Kwanza yaonekana kama uomeongea kwa kutumia uzoefu. Pili, kumbe ni ndivyo mlivyo eeeh? Eti mko wajanja wajanja....teh teh teh....angalau wewe unasemaga ukweli.

NN namwambia ukweli aamue kuchagua mwenyewe, marafiki zangu wamezaa na ghanian na waliahidiwa ndoa, hizo ndoa zimekuwa historia, waghana wameenda kuoa kwao,Tena wameoa wapenzi wao wa siku nyingi, bibie asitegee ndoa yeye achune tu, kama ameamua kuwa nae

Unajua tena wale ni wajinga kweli unaweza kumchuna na usimpe, ukawa unamuahidi tu azidi kusubiri utampa siku moja, ndo ujanja huo ninaousemea heheheheh
 
kwel we kahaba,yaan mshkaji ulienae umkubali?acha tamaa,ghana kitu gani.control ya feelings zickuenslave.umekunya kwenye public squore
 

Thank you for this useful post
 
Imagination ya British Airways to Ghana. Ukifika kule mnaenda kwa Mtogole ya kule. Shauri yako!


teh teh teh ......................mtogole ya Ghana labda ni sawa na masaki ya Tz............imagination nazo bwana..........teh teh teh
 
kwel we kahaba,yaan mshkaji ulienae umkubali?acha tamaa,ghana kitu gani.control ya feelings zickuenslave.umekunya kwenye public squore
<br />
<br />

Mkuu naunga mkono hoja huyu mdada hajatulia kabisaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…