Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na kiwango cha juu ni mkubwa kuliko wi-fi. Nililipia internet ya fiber ya tigo just 5 days ago, after a akaja surveyor, baada ya siku 3 yani leo napigiwa simu kuwa wanakuja kufunga.
Sasa tuje kwa ndugu zetu ttcl, kuna threads nyingi humu watu wamefuatilia internet yao wanapigwa danadana kama vile wao ndio wateja halafu wanaofuatilia huduma ndio watoa huduma. Nadhani hii ni kwa sababu wao hata wakitengeneza hasara bado mishara yao ni guranteed kulipwa basi hawajali. Hawa tigo baada ya kuonyesha nia walikuwa wananipigia simu kila uchwao and mind you hata ela yenyewe si nyingi maana nalipia 70,000 tu kila mwezi lakini wanakupigia kila siku kukuuliza vipi unafunga.
sijui serikali ifanye nini ila mashirika yake hayafanyi kazi ni sehemu tu ya wakurugenzi kupiga pesa na kutenguliwa wakasepa na walichopiga.