Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna Uzi leo jamaa kasema Ikiwa unakopa ili Ulipe mkopo mwingine- Umekwisha...Habari wadau.
Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.
Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Mwamba GT Scars aliwaonya sana humu kwenye ule uzi wa jamaa akiwakejeli na kuwadhihaki hawa mikopo online mkabakia kumshambulia.Habari wadau.
Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.
Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Sasa kama umeshindwa kulipa huo mkopo wa 20k watakuamini vipi? Mibongo sisi si waaminifu kwa kila kitu. Matukio kama haya ni fundisho kwetu sisi watu honest usimuamini yoyote hasa nigger.Sema NMB wanazingua sana yaani mkopo wa Timiza au Songesha wa elfu 20 ndo ukufanye ukose mkopo wa Bank. Ii policy wanatakiwa waitoe bwana
Au uwe mwiziMaisha bila mikopo hayaendi, labda kama unataka kuwa kwenye comfort zone.
Yani ushindwe kulipa 20K halafu mtu akuamini kukukopesha 20M?Sema NMB wanazingua sana yaani mkopo wa Timiza au Songesha wa elfu 20 ndo ukufanye ukose mkopo wa Bank. Ii policy wanatakiwa waitoe bwana
Hawa watu wana akili fupi sana. Hawa ndio wanasababisha mikopo nchi hii iwe na riba kubwa. Mtu kutolipa anaona ndio ujanja na kundi kubwa la wapumbavu wanamsifia.Sasa kama umeshindwa kulipa huo mkopo wa 20k watakuamini vipi? Mibongo sisi si waaminifu kwa kila kitu. Matukio kama haya ni fundisho kwetu sisi watu honest usimuamini yoyote hasa nigger.
mrangi adriz The Icebreaker RRONDO Chaliifrancisco
Nchi ina wapumbavu wengi sana.Yani ushindwe kulipa 20K halafu mtu akuamini kukukopesha 20M?
Vitu vingine tunalalamika tu bure.
Ngoja nije kukopa.Maisha bila mikopo hayaendi, labda kama unataka kuwa kwenye comfort zone.
Uje wapi? NMB si ipo twende tukamalizane nao chap, 5m tu nataka..Ngoja nije kukopa.
🚶🚶🚶🚶
Riba ya asilimia 13 ni kubwa?Duuuu...hatariii..vimikopo hivyo vina riba kubwa, havilipiki. Lakini ndo vinaharibu status loo
Nakuja kukopa kwako🤣Uje wapi? NMB si ipo twende tukamalizane nao chap, 5m tu nataka..
Wewe ni dalali wa Pesa X acha kutupanga,
Na tunawaambia hatulipi ng'o
Duh,mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba
Huku tunahimizwa tutafute hela.Achana na mikopo, itakupa stress bure!