Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna Uzi leo jamaa kasema Ikiwa unakopa ili Ulipe mkopo mwingine- Umekwisha...Habari wadau.
Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.
Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Nyinyi ndio mnatunanga kila siku sisi tuliojiriwa serikalini kwamba Hatuna muono. Sasa Braza Umekwisha...Dawa ya Mkopo ulipwe na mkopo.