Nimeenda benki ya NMB kukopa fedha, naambiwa mkopo wangu umekataliwa kwa vile nina mkopo wa Timiza kampuni ya Simu ya Airtel

Nimeenda benki ya NMB kukopa fedha, naambiwa mkopo wangu umekataliwa kwa vile nina mkopo wa Timiza kampuni ya Simu ya Airtel

Habari wadau.

Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.

Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.

Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Kuna Uzi leo jamaa kasema Ikiwa unakopa ili Ulipe mkopo mwingine- Umekwisha...

Nyinyi ndio mnatunanga kila siku sisi tuliojiriwa serikalini kwamba Hatuna muono. Sasa Braza Umekwisha...Dawa ya Mkopo ulipwe na mkopo.
 
Habari wadau.

Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.

Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.

Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Mwamba GT Scars aliwaonya sana humu kwenye ule uzi wa jamaa akiwakejeli na kuwadhihaki hawa mikopo online mkabakia kumshambulia.
 
Hii kitu watu waonadhani ni kamba..
Wanashindwa kuelewa wakopeshaji hata kwenye mikipo ya simu ni hao hao Bank, hio mitandano ni way out tuu..
Ili kulindana na kusaidiana kuepuka hasara na wewe likikukuta maana wadaiwa wanatabia ya kuzunguka zunguka kila penye gap, ndio waka merge mifumo yao ya mikopo na wadaiwa...

Hii kitu mimi mwanzo nilibisha ila nikakubali...

Issue ni kwamba tuu sio wote, Kuna wengine taarifa zao hazija match hivyo wanachukua.

Wakenya wanaushuhuda mzuri sana katika hili.
 
Sema NMB wanazingua sana yaani mkopo wa Timiza au Songesha wa elfu 20 ndo ukufanye ukose mkopo wa Bank. Ii policy wanatakiwa waitoe bwana
Sasa kama umeshindwa kulipa huo mkopo wa 20k watakuamini vipi? Mibongo sisi si waaminifu kwa kila kitu. Matukio kama haya ni fundisho kwetu sisi watu honest usimuamini yoyote hasa nigger.

mrangi adriz The Icebreaker RRONDO Chaliifrancisco
 
Hawa watu wana akili fupi sana. Hawa ndio wanasababisha mikopo nchi hii iwe na riba kubwa. Mtu kutolipa anaona ndio ujanja na kundi kubwa la wapumbavu wanamsifia.
Ndio maana unakuta watu na nafasi zao makazini wanaendesha gari za miaka 20 iliopita. Hawajui Ulaya,SA watu wanaendesha new cars kwasababu ya mikopo.
 
Hivi nyie mnaokopa na kisha hamlipi then mnajisifia, mko na conscious kweli!! Nyie itakuwa ndio matapeli hata mitaani, halafu wakavuuu🙆🙆🙆
 
Ni kweli mkuu , hizi songesha usipolipa unakuwa
Rated kama high risk customer.
na unanyimwa mkopo benk 100%

mpaka uondoe hilo tatizo
Wewe ni dalali wa Pesa X acha kutupanga,

Na tunawaambia hatulipi ng'o
 
Back
Top Bottom