Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nguvu za Muafrika ni Halisi na zinafanya kazi kweli na kutoa matokeo.Sindano hutumika katika katika Ulimwengu wa Roho kama inavyotumika Bunduki katika maisha halisi yaani kujilinda au kumdhuru Mtu huchanganywa na baadhi ya miti na kunenewa Maneno yenye nguvu ambayo hushambulia au kujilinda hivyo hutoa matokeo haraka sana.Aisee, dunia inakwenda kasi sana siku hizi. Nimehitaji kubadili laini X kwenye simu yangu ili nipachike laini yenye bando kwa ajili ya kuwatembelea wale ndugu zetu wale
Kwa bahati mbaya nimekosa kinyofoleo cha laini. Nimesaka nyumba nzima kutafuta pini au sindano pasi na mafanikio. Nikaona isiwe kesi, wacha niingie kwa Mangi. Ile kuulizia tu, watu wamenipiga macho yasiyo na kifani, Mangi akasema hana
Nikasogea duka jirani, kuulizia akaniambia kuwa anazo lakini hauzi usiku huu. Najihisi sijui wamenichukuliaje aisee ingawa sijajua ni kwanini nimekataliwa kuuziwa
Nguvu za Muafrika ni Halisi na zinafanya kazi kweli na kutoa matokeo.Sindano hutumika katika katika Ulimwengu wa Roho kama inavyotumika Bunduki katika maisha halisi yaani kujilinda au kumdhuru Mtu huchanganywa na baadhi ya miti na kunenewa Maneno yenye nguvu ambayo hushambulia au kujilinda hivyo hutoa matokeo haraka sana. Wenye maduka wengi huogopa kukuuzia kwakuwa unaweza kutumia hiyo kwa hasira kuwadhuru wao maana muda anakupa inakuwa na nasaba naye huo muda hivyo huofia shambulio . Chumvi hutumika sana kwenye kinga wanga wengi huathirika na chumvi kama utaweka kwenye kona za nyumba hata wale waaminio Bibilio imeelezwa pia lakini pja inaweza tumika kudhuru watu .
Narudia tena Uchawi na Mambo ya Imani za Muafrika zinafanyakszi mpaka sasa usije puuza tii mila za watu.Uchawi na Imani za kiafrika zipo mbele sana kuliko sayansi na Yechnolojia
Wabongo wengi nimasengeKuna mila za kishirikina baadhi ya vitu haviuzwi jua likisha tua kama sindani na chumvi.
Baadhi hukubali kuuza ukisema unataka mwiba badala ya sindano na dawa ya mboga badala ya chumvi.
Ni aina ya ujinga endelevu bado umeifunga jamii.
Mkuu, simu niliacha ndani. Isitoshe hata kujieleza ilishindikana kutokana na macho ya wananchi pamoja na warembo kutaradadi mbele yanguHakuwa na shida huyo, kwanini asielezee shida yake ya kutoa laini kwenye simu pale dukani tena wakamtolea bure Kwa pini mpya ya kwenye box tena wakairudisha auziwe mteja kesho!?, Kuna mada nyingine waweza kuhisi watu wanatunga stori tu.
Ungejieleza ungeeleweka kuliko kuwaacha na maswali yao kama kweli walikuwa nayo.Mkuu, simu niliacha ndani. Isitoshe hata kujieleza ilishindikana kutokana na macho ya wananchi pamoja na warembo kutaradadi mbele yangu
Hahaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ,MaghayoWabongo wengi nimasenge
Ni imani za kipuuzi na kishenzi tuHiyo hata mimi niliambiwa hatuuzi usiku sindano.
Ushirikina wa kijinga sana huo.