Jipya kwako hospital za Botswana wako mbele ya mudaPs. Hiyo ya kuandaa ambulance kwa uzazi nalo ni jipya! Andaa tu gari dalili zikianza tu mnaenda. Bila shaka ni uzao wenu wa kwanza!
Yeye hataki gari ya kawaida, anataka mkewe akachukuliwe na ambulance ili awe anaenda akipata huduma njiani.Ambulance mbona zinafuata watu nyumbani.
Ps. Hiyo ya kuandaa ambulance kwa uzazi nalo ni jipya! Andaa tu gari dalili zikianza tu mnaenda. Bila shaka ni uzao wenu wa kwanza!
Kutembea Ni moja ya mazoezi ya kujifungua!Na hivi huwa hawataki kuwadekeza Wajawazito.. 😂 mie nilimpelek jirani yangu hosp.. tumefik hawez kushuk ktk gari.
Nikaomba msaada wa wheelchair wakagoma kunipa eti atembee mwenyewe..
Baadae nikaja kugundua huwa wanawatreat hivyo maksudi..
Kama ambulance inakodiwa kubeba mpk maiti leo hii igome kubeba mjamzito kwel? Au ulienda bila chochote kitu mkononi..
Inaonekana una experience.. ushashusha Engine ngapi mpk sahiv Mkuu..😋Kutembea Ni moja ya mazoezi ya kujifungua!
Moja tu ila sirudii tena🤣Inaonekana una experience.. ushashusha Engine ngapi mpk sahiv Mkuu..😋
Hakuna kilichoharibika hapo nenda mtaani Kodi gari private Kisha tafuta nurse aliyehidhinishwa ingia nae mkataba kwa lengo la kuweka uangalizi kwa ajiri ya mke wakoIli ndo lilikuwa lengo langu
Acha kumjaza kichwaPole sana mkuu. Sijui taratibu za ambyulensi zikoje.
Ila nimependa uthubutu wako. Wewe ni mfano wa kuigwa kwenye uthubutu. 😊
lakini kumbuka amesema ni mbali hata wewe huwezi kutembea hata nusu kilomita ukiwa na mimba iliyotayari kuleta ka gen z hapo utasikia kanakwambia acha kunichosha na hakajatoka. Kutembea ni vizuri kama umefka mita kama mia unaweza shuka utembee mimi wangu ni pikipiki mda huo akiniuma mgongo ruka rukisha yeye kwene mabone tukifika ni chap kidogo mpaka sasa nna alama mbili mgongoni moja ya firstborn niling'atwa na nyingne ya kalastborn ka sasa we acha tu. Ya firstborn alining'ata kweli lakin tokana na maupendo nilijikaza tukafika hos mda anaingia labour na mimi naenda kushonwa akijifungua tunarudi kwa gari sasaKutembea Ni moja ya mazoezi ya kujifungua!
Huwa mnasemaga hivyo hivyo, pakipoa badae mnaachia wenyewe. 😁Moja tu ila sirudii tena🤣