Ndio inamsaidia mtoto asogee haraka! Hongera kwa kwa kuwa baba na mume bora! Dah uchungu wa kuuma mgongo jamani😰lakini kumbuka amesema ni mbali hata wewe huwezi kutembea hata nusu kilomita ukiwa na mimba iliyotayari kuleta ka gen z hapo utasikia kanakwambia acha kunichosha na hakajatoka. Kutembea ni vizuri kama umefka mita kama mia unaweza shuka utembee mimi wangu ni pikipiki mda huo akiniuma mgongo ruka rukisha yeye kwene mabone tukifika ni chap kidogo mpaka sasa nna alama mbili mgongoni moja ya firstborn niling'atwa na nyingne ya kalastborn ka sasa we acha tu. Ya firstborn alining'ata kweli lakin tokana na maupendo nilijikaza tukafika hos mda anaingia labour na mimi naenda kushonwa akijifungua tunarudi kwa gari sasa
Hmm labda kama miaka imepita yote hiyo sijui lakini..Huwa mnasemaga hivyo hivyo, pakipoa badae mnaachia wenyewe. 😁
We utaachia tuu! Ni suala la muda tuu!Hmm labda kama miaka imepita yote hiyo sijui lakini..
Kwanin sasa.... ule mchezo mtam bhn panua miguu uongeze Watanganyika..Moja tu ila sirudii tena🤣
Nitaachia wapi kakaake 😁We utaachia tuu! Ni suala la muda tuu!
Ongeza wewe kwanza🫢Kwanin sasa.... ule mchezo mtam bhn panua miguu uongeze Watanganyika..
Yes,Habari wana jukwaa, nina mgonjwa(mama mjamzito) mda wake wa kujifungua umekaribia na ninapokaa kuna umbali kidogo mpaka hospitali kwa hofu ya kuhofia asije akapata uchungu usiku ikanibidi niende hospitali ya Vijibweni(Kigamboni) kwenda kuongea nao walau niweze kukodisha ambulance ili mda ukifika niwapigie simu wamfate mgonjwa wangu wamlete hospital.
Nilichoambiwa hapo mapokezi ni kuwa hakuna utaratibu wa ambulance kumfata mgonjwa nyumbani, kazi ya ambulance ni kumtoa mgonjwa hospital A na kumpeleka hospital B, kama mgonjwa atazidiwa usiku itabidi nikodi bajaji nimpeleke hospitali
okay well done,NImeshakodi ya private gentleman
Watakuja wadau tuu! 😁Nitaachia wapi kakaake 😁
Aah too late!😅Watakuja wadau tuu! 😁
Ulichoambiwa ndiyo utaratibu wa kawaida . Lakini zipo za binafsi? Au huko vijiweni hakuna?Habari wana jukwaa, nina mgonjwa(mama mjamzito) mda wake wa kujifungua umekaribia na ninapokaa kuna umbali kidogo mpaka hospitali kwa hofu ya kuhofia asije akapata uchungu usiku ikanibidi niende hospitali ya Vijibweni(Kigamboni) kwenda kuongea nao walau niweze kukodisha ambulance ili mda ukifika niwapigie simu wamfate mgonjwa wangu wamlete hospital.
Nilichoambiwa hapo mapokezi ni kuwa hakuna utaratibu wa ambulance kumfata mgonjwa nyumbani, kazi ya ambulance ni kumtoa mgonjwa hospital A na kumpeleka hospital B, kama mgonjwa atazidiwa usiku itabidi nikodi bajaji nimpeleke hospitali
Na hospital ya vijibweni mbona ni nzuri tu kujifungulia pale labda kama ana complications za kuhitaji kwenda hospital kubwaAmbulance mbona zinafuata watu nyumbani.
Ps. Hiyo ya kuandaa ambulance kwa uzazi nalo ni jipya! Andaa tu gari dalili zikianza tu mnaenda. Bila shaka ni uzao wenu wa kwanza!