Nimeenda kukodi ambulance nikaambiwa hakuna utaratibu huo

Na hospital ya vijibweni mbona ni nzuri tu kujifungulia pale labda kama ana complications za kuhitaji kwenda hospital kubwa
Nilitaka kukodi kwa ajili ya kumtoa nyumbani kumleta hapo Vijibweni
 
Sio kila mgonjwa anahitqji ambulance. Ambulance ni emergency. Ujauzito sio ugonjwa wala emergency tena wewe umeenda kuwathibitishia kuwa huna emergency.
Lengo ni kuwa ikitokea usiku uchungu umempata nawapigia simu wanamfata na pia inakuwa rahisi kupatiwa huduma kwenye gari
 
Kutembea na tumbo kitu gani? Mama anachanwa tumbo kutoa mtoto na kesho yake anatakiwa kutembea na kupanda ngazi ili kuweka mwili sawa. We baba Junia vipi?
 
Sio kila mgonjwa anahitqji ambulance. Ambulance ni emergency. Ujauzito sio ugonjwa wala emergency tena wewe umeenda kuwathibitishia kuwa huna emergency.
Hata Mimi nimewaza hivyo. Pia hawataki kujicomit maana siku ya tukio wanaweza wasiwe around kama ni co. Yenye magari machache
 
Pole sana lakini nafikiri hao tu ni utaratibu wao lakini hata Muhimbili ukilipia kwa utaratibu walio uweka unapatiwa huduma ya gari la wagonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…