Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee
Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆
Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida
Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu
Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele
Tunguli KWA ajili ya kunywea maji
Chungu cha kupikia maharage