Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee

Nikasikia wanaanza kusali๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†

Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida

Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu

Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele

Tunguli KWA ajili ya kunywea maji

Chungu cha kupikia maharage
 
Chai ya kitoto. Hakuna cha kushangaza hapo. Umechemka hujui kutunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ