Nimeenda RITA na kuambiwa cheti cha mtoto cha kuzaliwa ni tsh 20,000/=

Nimeenda RITA na kuambiwa cheti cha mtoto cha kuzaliwa ni tsh 20,000/=

Hakuna kitu kinauma kama kugundua kwamba ulipigwa kwenye biashara or whatever regardless ni pesa kiasi gani pia hakuna kitu kibaya kama kutaka kumuibia mtu ambaye anajua actual amount kwahio ukiona dalili za kutapeliwa shituka...
kila kitu kipo wazi mtoto chini ya miaka 10 cheti cha kuzaliwa ni elf 8 zaidi ya miaka 10 ni elf 20 utalipia kupitia control namba online ukisajiliwa pale rita ofisini, lakini kama nikupitia internet cafe mtaelewana na mhusika siyo suala la serikali maana wa internet cafe anabei yake ya kufanya online registration maana nayeye mwisho wa siku atalipa kodi na mapato mengine kama ofisi yake niya biashara
 
kila kitu kipo wazi mtoto chini ya miaka 10 cheti cha kuzaliwa ni elf 8 zaidi ya miaka 10 ni elf 20 utalipia kupitia control namba online ukisajiliwa pale rita ofisini,lakini kama nikupitia internet cafe mtaelewana na mhusika siyo suala la serikali maana wa internet cafe anabei yake ya kufanya online registration maana nayeye mwisho wa siku atalipa kodi na mapato mengine kama ofisi yake niya biashara
Hio ni rita njombe mkuu ofisini kwao na wala sio internet cafe
 
Back
Top Bottom