Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Okay 2021 nilichukua kwa bei hizo naona now imepanda. Ilikua Dar.7000
Je hiyo bei ni mkoa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay 2021 nilichukua kwa bei hizo naona now imepanda. Ilikua Dar.7000
Sio kweli bei inategemea na umri wa mtoto!! Umri unapokuwa mkubwa na gharama ya cheti inakuwa kubwa vileMimi najua cheti cha mtoto unalipia 8000/= tu pale makao makuu.
Hiyo ni kwa mtoto chini ya miaka naneSio kweli bei inategemea na umri wa mtoto!! Umri unapokuwa mkubwa na gharama ya cheti inakuwa kubwa vile
Watoto chini ya miaka 10 ni sh10000.zaidi ya hapo inazidi.Hakuna kitu kinauma kama kugundua kwamba ulipigwa kwenye biashara or whatever regardless ni pesa kiasi gani pia hakuna kitu kibaya kama kutaka kumuibia mtu ambaye anajua actual amount kwahio ukiona dalili za kutapeliwa shituka.
Mwanangu ana miaka miwili nilichelewa kumsajilia cheti kutokana na inconvenience kadha wa kadha kati ya mimi na mama yake after we went separate ways.
Nikampigia jamaa yangu mmoja ambaye hushughulikia vyeti akanambia kapewa mwongozo mpya ambao unamuongoza asajili watoto 3months kushuka the rest waende RITA kwa hiyo sikua na namna nikajisogeza mpaka ofisi zao kwa mkuu wa wilaya nikapewa utaratibu ambao ni tofauti na ambao jamaa yangu alinielekeza pia niliambiwa nije na vibatanisho kadhaa ikiwemo kadi ya clinic barua toka kwa (VEO) national ids zote yangu na mama yake nk
Kwakuwa sikuweza kuzipata hizo kwa muda huo nikaondoka na kuzitafuta zote then Leo nimerudi tena rita baada ya kuzihakiki hizo attachments nikaelekezwa ofisi nyingine nikakuta foleni ya watu kama watano hivi na wengine waliendelea kumiminika kwa kasi.
Kitu cha kwanza Kilichonishangaza ni ofisi inapokea pesa mkononi na wakati tunajua kabisa malipo ya serikali yanaenda GEPG.
Hapa nikaja kurealize kwamba control number zinasumbua kutoka kwahio sikuacha neno
Lakini sahizi nimekaa nimetulia na kufikiria nikagundua ni mazingira ya rushwa yametengenezwa tu control number wala haisumbui kutoka sema wanaweka janja janja ili waweze kupata cash wakalipe wenyewe ili wachukue vichenji vya juu sijajua ni dogo peke yake ama kuna chain ya wakubwa wake
Pia pesa zilizokuwa zinatajwa yule dogo anaongeza 10k hadi 15k kutoka kwenye bei official mfano wakubwa waliambiwa 30k
Mimi sikusema kitu mpaka ilipofika zamu yangu nikauliza gharama nikaambiwa 20k nikauliza mara mbili akanambia ndo hivyo nikamuuliza mbona nikitumia mfumo wa ERITA control number inakuja ni shilingi elf 7?
Kisha haraka nikaangalia daftari alilokua anadocument nikaona aloambiwa 30k kaandikiwa 20k aloambiwa 20k kaandikiwa 7k Dogo akanitazama usoni kisha akaendelea kucheze mouse kama hajasikia nilichosema nikamwambia hapa nakupa 10k hio alf 3 ndo uishenyente🤣🤣🤣 mimi mwenye mhuni Akasema bro kazi yenyewe ngumu sana hii kwahio hio amount ninayoongeza ni kama arifu
I was like dogo! Wewe rita si wanakulipa kwa kazi hio and still unaona haitoshi unaibia watu? (Kimoyo moyo)
Baadae nikaona tusifike mbali nikampa 10k na nikamwambia kama hutaki acha akapokea😀😀
Nawasilisha