Nimefall in Love na Unknown Persnon! Pls Help

Dah mdau hiyo ya kwako inaweza kuwa kali,check mzee unaweza uka fall na mwanaume mwenzio dunia imeshachakachuliwa siku hizi.Minakushauri kutana na huyo binti physicaly umwone ukae nae mfahamiane zaidi
 
Je yeye kaiona hiyo sura yako na dental formular yako?

Nimemsimulia how i look lyk na jinsi nilivyo HB i hp umeniona mwenyewe kasema haijalishi coz kinachotakiwa ni true lov!!
 

Big Thanks Suzane I hope soon 2tamit nae coz nmemwambia amekubali.
 

mmmh, miezi 3 tu, umempenda au umemtamani. Kuwa makini anaweza akawa kidume mwenzio sasa sijui utamtigolize...
Matapeli wengi sahv, akianza style ya "mpenzi sina vocha", "mpenzi simu yangu imeharibika speaker" ujue kumekucha.
 

Ni kawaida mapenzi yanavyoanza kuwa na shamrashamra. Hujafall in love ila ni msisimko unaupata na kumuwaza huyo binti,ukikutana nae utatulia kidogo
 
acha uzuzu, ukikutana naye akiwa mapengo itakuwaje, utarudi nyumas au utakimbia?
 


MMh! ni possible huh! mbona mimi nili fall in love na Afrodenz hata sauti yake sikuisikia ! lol!!:lol:
 
MMh! ni possible huh! mbona mimi nili fall in love na Afrodenz hata sauti yake sikuisikia ! lol!!:lol:

hahahahahah lol how sweety thanx..
lakini so hujanisikia tu..
hujawahi niona pia..
hujui nikoje...
Thats what i call true love.....hahahahha lol
because love is blind au vipi???? hahahahah lol
 
FACEBOOK.....SIMU ......ni hatari kwa kusababisha watu kuingia katika uzinzi(SIO MAPENZI) ifike muda SPADE IITWE SPADE and not otherwise....HAKUNA KITU MAPENZI NJE YA NDOA ...NJE YANDOA KUNA....UZINZI,UASHERATI,UKAHABA,UMALAYA,ZINAA je ndugu yetu umeangukia katika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…