Nimefall in Love na Unknown Persnon! Pls Help

Nimefall in Love na Unknown Persnon! Pls Help

Dah mdau hiyo ya kwako inaweza kuwa kali,check mzee unaweza uka fall na mwanaume mwenzio dunia imeshachakachuliwa siku hizi.Minakushauri kutana na huyo binti physicaly umwone ukae nae mfahamiane zaidi
 
Je yeye kaiona hiyo sura yako na dental formular yako?

Nimemsimulia how i look lyk na jinsi nilivyo HB i hp umeniona mwenyewe kasema haijalishi coz kinachotakiwa ni true lov!!
 
kumpenda mtu ambaye hujamuona si tatizo, na pia inawezekana sana kumpenda mtu ambaye hujamuona wala si upungufu wa akili, je ni ndoa ngapi ambazo zimefungwa na watu wanaishi ambao hawakujuana kabla? (mambo ya mtandao). lakini nakushauri kitu kimoja Smasher, cool down,tafutaneni kutaneni, moyo wako una macho utakueleza kama kweli unampenda au lah, mm ninao marafiki wengi ambao sikuwajua kabla na wamenisaidia mambo mengi sana. Nakutia moyo inawezekana.

Big Thanks Suzane I hope soon 2tamit nae coz nmemwambia amekubali.
 
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake.

Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?

mmmh, miezi 3 tu, umempenda au umemtamani. Kuwa makini anaweza akawa kidume mwenzio sasa sijui utamtigolize...
Matapeli wengi sahv, akianza style ya "mpenzi sina vocha", "mpenzi simu yangu imeharibika speaker" ujue kumekucha.
 
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake.

Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?

Ni kawaida mapenzi yanavyoanza kuwa na shamrashamra. Hujafall in love ila ni msisimko unaupata na kumuwaza huyo binti,ukikutana nae utatulia kidogo
 
acha uzuzu, ukikutana naye akiwa mapengo itakuwaje, utarudi nyumas au utakimbia?
 
hivi kweli kuna msichana ambaye si mrembo kweye simu...
hata mimi naweza kujisifia ile mbaya....
tena anayejisifia sana ndo muogope ......
mi ninachoona usiweke matumaini yako juu sana kabla huja mwona...
mwambie akutumie picha ...
lakini ndo kama unategemea kumuoa huyo lazima umuone huyo.......(usije ukaoa jini lol)

MMh! ni possible huh! mbona mimi nili fall in love na Afrodenz hata sauti yake sikuisikia ! lol!!:lol:
 
MMh! ni possible huh! mbona mimi nili fall in love na Afrodenz hata sauti yake sikuisikia ! lol!!:lol:

hahahahahah lol how sweety thanx..
lakini so hujanisikia tu..
hujawahi niona pia..
hujui nikoje...
Thats what i call true love.....hahahahha lol
because love is blind au vipi???? hahahahah lol
 
FACEBOOK.....SIMU ......ni hatari kwa kusababisha watu kuingia katika uzinzi(SIO MAPENZI) ifike muda SPADE IITWE SPADE and not otherwise....HAKUNA KITU MAPENZI NJE YA NDOA ...NJE YANDOA KUNA....UZINZI,UASHERATI,UKAHABA,UMALAYA,ZINAA je ndugu yetu umeangukia katika nini?
 
Back
Top Bottom