BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
akinipa negative response.. I'll get hurt... natamani niongee nae ktk simu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akinipa negative response.. I'll get hurt... natamani niongee nae ktk simu
braza mdogomdogo braza....
afrodenzi ni shemej....
na rozi ni mai shem pia.....!
Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja... nahofia endapo atakuja na Negative Response(mtizamo hasi)....
mueleze kama unapenda mchango wake katika JF,na anakumalizaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaa......,Je uko tayari kumuona hata kama sura yake inafanana na Avatar ya First Born? sababu lazma ukubali hali utakayo mkuta nayo.
true that...!!
Mhhh..umependa maandishi.. all the best
Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja... nahofia endapo atakuja na Negative Response(mtizamo hasi)....
Na mie Naweka wazi.. ni AFRODENZI.... na ROSE 1980... I lurv them... natamani nikutane nao.. Naomba wani PM.. Let them give a gud response P'se... Natamani niongee nao ktk simu...
Acha kujifagilia sio wewe, ila umemfanana tu huyo anaemzimikia...Ni mimi nikupe number?
Umejichanganya kijana mara kuna mmoja mara unataja watu wawili ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
<br />Umejichanganya kijana mara kuna mmoja mara unataja watu wawili ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
mmmh sina bahati eehacha kujifagilia sio wewe, ila umemfanana tu huyo anaemzimikia...
Umejichanganya kijana mara kuna mmoja mara unataja watu wawili ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
Bahati unayo, muda haujawadia tu...mmmh sina bahati eeh
bibie sipo kimahaba.. nipo kimaisha zaidi.. tatizo wa bongo tunawaza kinyume saaanaaa... MMMhhh Afro..