Ndoa ni lini??Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13 pro max ili aweze kuingia Instagram na picha HD.... kama utaguswa na ndoa hii adhwim tuma chochote mwana jf mwenzangu.
Wapi picha za harusi mkuu??ilikuwa jana.
Anasubiri zawadi ya iPhone 13 ili imuwezeshe kuziweka hapa.Wapi picha za harusi mkuu??
Mbona unajiuliza mwenyewe mkuu?kwa nini hukusema mapema?
Mkuu inaonekana ushavurugwa sana. Unacomment, unajiquote then unatoa jibu. Qmmae walah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa nini hukusema mapema?
We mbona mchango hujauomba whatsapp??Nitumie namba yako nikurushie whatsapp