Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13 pro max ili aweze kuingia Instagram na picha HD.... kama utaguswa na ndoa hii adhwim tuma chochote mwana jf mwenzangu.
Yaani upige mzigo wewe halafu sisi tukuchangie udumishe ndoa! Kama uwezo mdogo wa kumhudumia mkeo si uende kuishi kwa shemeji yako.
 
Back
Top Bottom