Nimefanikiwa kufungua online radio

Nimependa hiyo. Katik orodha ya wtngazaji wa vipindi vy usiku (ikiwemo taarifa ya habari) weka na jina langu. Kam mdau aliyetangulia, sitaki kufa kabla sijasikika redioni.
kila mtangazaji ana kuwa anatangazia alipo na sauti itasikika vizuri hatarii
 
Na mimi nsmshangaa. Hapa kajishitaki tcra. Watamtokea mara moja kama mwewe
kuna kijana yuko kigoma alifungua radio kwani alikamatwa ? au hadi na mimi nimuite milard ayo ? bro ili jambo ni kubwa mno wao pia wameona
 
kwa sasa pia idhaa ya dw itakua inasikika live kupitia tzgospel online radio ila ulimwengu wa habari pekee sio lisaa lizima tunakatusha dakika 10 hivi za mwanzo sikiliza hapa > Tzgospel
 
Una run radio Yako kutoka host gan maana online zote zinategemea host Fulani mfano ni zile zinazo ruhusu kutengeneza alaf unalipia subscription
 
bwana yesu asifiwe! wadau wa jf basi nimecheguliwa kuwania tuzo ya vijana wabunifu TEYA yani tanzania emerging youth award,basi unaweza kunipigia kura online utaingia hapa TEYA | Tanzania Emerging Youth Awards utaona TZGOSPEL RADIO utaweka vote hapo basi utakuwa umenika kwenye kushinda tuzo iyo.basi niwachukuru maana jf akuna jambo linalo shindikana asanteni wadau.
 
usikose kusikiliza TZGOSPEL ONLINE RADIO tumekuandalia nyimbo nzuri za gospel kama
sebene
reggae gospel
hiphop
nyimbo za zamani
tenzi za roho
lakini pia tutakua tunajiunga TBC TAIFA kukuletea taarifa ya habari na kurusha LIVE vipindi vya BUNGE /MATUKIO YA KISERIKALI
pia tunajiunga DW swahili kwenye taarifa ya habari saa12 Asubuhi saa7mchana na saa12jioni japo tuna katisha ulimwengu wa habari ukiisha tunakatisha.

pia kwa sasa kila usiku kuanzia saa 3 tunajiunga KBC TAIFA RADIO KENYA kukuletea uchambuzi wa matokeo ya uchaguzi na wakati tume ya uchanguzi kenya inamtangaza mshindi wa kiti cha uraisi kenya basi tutarusha LIVE

Pia radio yetu inaweza kujiunga na radio yeyote kurusha vipindi
tupo Instagram,tiktok,facebook ni @tzgospel wasiliana nasi +255757560345
 
leo tzgospel radio tunajiunga na kbc taifa radio au milele fm kukuletea matangazo ya moja moja wakati wa tukio la kumtangaza mshindi wa kiti cha urasi kenya linki hii hapa >Tzgospel
tuachie maoni yako kwenye link iyo kuanzia saa 9 mchana
 
Nimekupigia kura Kijana wa MUNGU. Barikiwa sana Mtumishi
 

Attachments

  • Screenshot_2022-08-15-14-02-54-401_com.android.chrome.jpg
    54.8 KB · Views: 17
wadau wa jf naomba unisaidie kupiga kura kwenye tuzo ya tanzania emerging youth award 2022 ambapo nipo kwenye kipengele cha media of the years utaona radio yetu ya TZGOSPEL uta vote apo link hii
 
zoezi la kupiga kura sasa limeisha nashukuru sana kwa kwa wale wote milio nipigia kura,tzgospel atuwaangishii ushindi ni lazima sababu tunaye MUNGU .

kwenye hii tuzo pia maxence melo mwazilishi jf pia yupo katika maandalizi ya hii tuzo viongozi wengine wakubwa wapo kuhakikisha vijana tunafikia malengo yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…